Lema yupo ITV Live

kinachonidhi hiki kipindi kuna wachangia mada kila siku ni hao hao.
Muda wote mlikuwa bize na Zitto Kabwe leo ndio mnazinduka kuwa umeme umepanda wakati watu washasahau hili jambo.
 

wacha wee !
 
waambie walinzi wakae macho kama kuna magari pembeni ataiba huyo ni mzee wa kazi zombe alisha wataadharisha
We huna hoja ya msingi... we kila unachoskia unafikiri ni kweli... kuwa natabia ya kuchuja mambo la si hivo unaweza kushangaa kwa tabia ya kuamini kila unaloskia, utakuja kuuzwa ukijiona.. peleleza mambo na sio kuropoka hovyo
 
 
Muda wote mlikuwa bize na Zitto Kabwe leo ndio mnazinduka kuwa umeme umepanda wakati watu washasahau hili jambo.

kwani umeshashuka bei, wamesahau kwami ulikuwa wakununua mara moja..
 
Ana lalama tu kuhusu mabomu Mara ccm Hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha Ina mateja na wazurulaji tu

Mada inahusu(OTU)Operation Tokomeza Ujangili ilivyoendeshwa, sio maendeleo jimboni kwake.
 
Leo nimeonana na mke wa Mwangosi maeneo ya Mtwivila! Amekulaani san mkuu. Unawatapeli hadi wajane tena pesa ya rambirambi!?

huyu lukosi alichokifanya no laana kwenye jamii...
 
Pamoja na makelele ya magamba. Lema is a King of Arusha. Asili ya Ar ni kutoogopa lolote. Mtamjua vzr kata ya Sombetini
 
Lema wape za uso hawa jamaa badala ya kushughulikia majangil wana tesa ndugu zetu. Haya ni madhila ambayo hayavumiliki ,ccm wamesahau kushughulikia matatizo kama ya umeme wanahangaika kubaka mama zetu kisa operation tokomeza ujangili.
 
sijui kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kusema yeye siyo mjinga, hivyo hata wewe nina uhakika ni mjinga nampumbavu...
Khaa!! Prove it. then nami nitakuprovia ujinga wake
 
ana lalama tu kuhusu mabomu mara ccm hana hoja za kusaidia uchafu wa mitaa na shida za maji na umeme arusha barabara zimejaa vumbi tupu maeneo ya wanaomshabikia ndiko kumejaa vibaka na wasionakazi arusha ina mateja na wazurulaji tu

how old are you??
 
Magamba huwa wanapata shida sana lema anavyowapeleka peleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…