Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
umetoa ushauri wa bure. Hongera. Nadhani watapinga tu coz wamezoea kupinga.
Asante mkuu wangu! one page!
Ndio mkuu,ni jambo lililo wazi,na kwa taharifa alianza wakati anaishi Mwanza kipindi hicho cha nyuma.
Hii mbona kawaida tu. Unaambiwa huyu Rais mpya wa Kenya, Uhuru Kenyatta, akili haifanyikazi vizuri hadi alikoki kwanza!
kampe ushauri huo kikwete kwani lema tayari anafanya maendeleo na kupigania haki yaani kutokubali kuwalamba miguu majangili..
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Mkiambiwa ukweli unawauma,TISS wafanye majukumu Yao kwa maslahi ya taifa.Lema ni zaid ya tatizo kwa vijana,ushaskia anapata support hata kutoka kwa wabunge wenzake makin wa chadema?Ulishamskia Arfi anacomment chochote cha Lema?au Zitto?take a note.
Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
uthubutu wa kuvunja sheria?
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Mtikila amethibitisha Kikwete ni Gaidi ndio maana Mahakama imemuachia huru.Akitoka huko awahi Mjengoni kuthibitisha udini wa JK
Maskini Tanzania yangu,impact ya matumizi ya dawa za kulevya(bangi) ya mtu mmoja inaathiri sehemu kubwa ya jamii,TISS mko wapi?Okoeni taifa,watu wengine ni madhara kwa taifa?
Ndio mkuu,ni jambo lililo wazi,na kwa taharifa alianza wakati anaishi Mwanza kipindi hicho cha nyuma.
Huu anaofanya Lema ni UBUNGE kweli?
ubunge wa vurugu na kunyea debe?
Tune Sunrise Radio mliopo Arusha.
Mh anaongea, anawararua Polisi na RC, anatema hoja za nguvu, na anasimamia haki.
Anazungumzia uchaguzi wa kata ya Sombetini. Anasema kuwa uchaguzi wa Sombetini kwa nini hauitishwi? Anasema kama Uchaguzi wa Kata ya Sombetini haufanyiki, basi Mh Mawazo bado ni Diwani wa CCM kwa uwakilishi wa CHADEMA! Na kuwa hataenda Bungeni kwa ajili ya hilo, akienda Bungeni atakula sahani moja na Pinda (maneno yangu).
Anasisitiza; DHAMBI KUBWA KULIKO ZOTE NI WOGA!