Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Karibu Mselewa,hapa ndo hom kwetu na LEMA ndo kila kitu,karibu hom kimandolu.
hiyo ndio arachuga kamanda! kila mtu anavaa mnyonyo bila kujali umri
Najionea mkuu. Ukiwa mbali na hapa unaweza kupotoshwa. Njooni mjionee
Zaidi ya mandamano hakuna jipya.
Wewe umekuwa mkaaji wa arusha tangu lini uongo mwingine kazi kweli.
Uwe unaelewa basi mkuu. Kwasasa nipo Arusha na si kwamba mimi ni mkazi wa Arusha. Bure kabisa
Uwe unaelewa basi mkuu. Kwasasa nipo Arusha na si kwamba mimi ni mkazi wa Arusha. Bure kabisa
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.
Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.
Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.