Lema, umewapa nini wana-Arusha?

Lema, umewapa nini wana-Arusha?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.

Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.

Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.
 
Ametuletea maendeleo chalii wangu
 
hiyo ndio arachuga kamanda! kila mtu anavaa mnyonyo bila kujali umri
 
sasa hivi mussa allan atatia timu hapa na timu yake ya lumumba maadam umetaja jina lema
 
Pale Arusha hata agombee katibu mkuu wa magamba ataambulia kura za aibu. wao wanasema A-Town bila Lema HAIPO!! ni Chief wao na hili halina ubishi.
 
LEMA ameiua ARUSHA,wananchi wamemchoka na wanajuta kumchagu,ahadi zake zote zimeota mbawa.
 
Mkuu kama umefikia kaloleni ukajionea hayo basi kable hujarudi unakotokea usisahau kupita maeneo ya Kijenge ujionee mwenyewe CDM inavyopendwa..........Karibu Arusha Mkuu.
 
Uwe unaelewa basi mkuu. Kwasasa nipo Arusha na si kwamba mimi ni mkazi wa Arusha. Bure kabisa

mimi nilikuwa Nairobi nimelala ARUSHA sikutatu nimerudi jana usiku,nipo Dar, hamna lolote,taa zilizowekwa bararabarani haziwaki,ahadi zote hamna kitu,Lema kama unampenda muulize yule Meya waliemkataa na kusababisha maafa kwanini leo wanafanyanae kazi.alisababisha mauaji ya kijinga kabisa,Wajane na Yatima wamewaacha kwenye mataa.
 
Ni uwezo tu wa kufikiri na kung'amua mambo. Watu wa Arusha wengi wao upstairs kuko sawa nowonder hawawezi kuikumbatia CCM. Walishasema hata CDM wakiweka jiwe wao wanalipia kura kuliko kuipa kura CCM. CCM watabaki pwani tu na kusini kwenye raia wanaodanganyika kirahisi!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Nipo hapa Arusha kuhudhuria Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika. Nimefika hapa jana na nitakuwa hapa hadi Jumapili. Naomba kukuuliza Godbless Jonathan Lema,Mbunge wa Arusha Mjini tulipo Mawakili kwa sasa.

Lema,leo tuambie hapa nini hasa kinachowafanya wana-Arusha wakuamini na kukuheshimu? Wananchi wako wanakuimba kwa mema kwelikweli.

Hata sisi Wasomi wa sheria tunajiona tuko huru na salama kwenye jimbo lako. Lema kiukweli ameiteka na kuikamata Arusha.

Msomi unatumika???
 
Back
Top Bottom