hizo ni sera zenu za ccm uongouongo kazi ni moja tu peleka uchafu kwa mkurugenzi halafu atajijua wakati wa nyerer kulikuwa na kauli ya nguvu kazi sasa ndio hiyo:confused2:
Hivi Lema ni mzima kweli kila sehemu anataka kutumia ubabe tu.
Hizo takataka ukizipeleka ofisini kwa mkurugenzi ndiyo tatizo litaisha.
Kwani usikae na mkurugenzi mlitatue ili suala kuliko kuleta vitisho.