Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,387
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.

Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.


Chanzo: Mtanzania

CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
 
Na hawa mtanzania si walinunuliwa na rostam na lowassa naona kuna kitu kinakuja hapa
 
Karibu sana lowasa. Tunakusubili kwa hamu kubwa. Ccm si mungu wa kuogopwa, muogope mungu tu mweza wa yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom