Lema: Tutapokea kigogo wa CCM


Wote wapigaji tu mwamini mwanasiasa aliyekufa tu.. the rest usiwaamini kiivyo wale wapinga ufisadi leo wanakaribisha walosemwa ni mafisadi...
 

Hili siyo jukwaa la elimu
 
Kwa hiyo unataka Lowassa abaki CCM mbona hamueleweki?

Wakati mwingine huwa nakubaliana na wanaosema Lowassa alibebeshwa Richmond kuiokoa serikali ya Kikwete, wamebaki kuimba ni fisadi lakini hawataki aende Chadema.

Nani kasema asiende chadema? akwendeee! unasema ccm inamng'ang'ania!! unachekesha kweli, yule ni mwanachama wa kawaida na hakufaa kugombea uongozi wa juu nchini, naona hapo kwenu anafaa mpeni bendera ya UKAWA kama haujageuka UKIWA!
 
ulishatolewa na Slaa kwenye kampeni ya Nasari pale Arumeru, ngoja tukutupie ka youtube ka video yake Slaa akitoa ushuhuda wa ufisadi wa Lowasa
Hizo video hazitasaidia kitu watu hukosa na hutubu.

Chadema nao wanaweza kuleta ushahidi wa video ukionyesha Kikwete akimnadi Lowassa akisema Lowassa ni safi tena kamshika mkono juu.
 
mi sijibizani na jingajinga kama ww bendera fuata upepo. Wenzio siasa ni biashara we unavimba macho kungojea maandamano.

Mimi kama ni mjinga hewahla,ila jibu swali wacha kumbwelambwela hapa jukwaani
 
Wanaweza kumpokea lakini wasimpe usukani.
 

Kama ni Lowasa basi ajiunge mapema ili wapambanaji wa kweli wenye nia nzuri na nchi yao wawahi kuondoka mapema katika CHADEMA kwa sababu kitakuwa kimepoteza mwelekeo na kuwapokea wale kilichokuwa kikipinga kwa nguvu zote tabia zao za kifisadi
 
Nani kasema asiende chadema? akwendeee! unasema ccm inamng'ang'ania!! unachekesha kweli, yule ni mwanachama wa kawaida na hakufaa kugombea uongozi wa juu nchini, naona hapo kwenu anafaa mpeni bendera ya UKAWA kama haujageuka UKIWA!
Sasa hizi kelele mnazofanya ni za nini, mwacheni Lowassa afanye siasa anazotaka mwenyewe vile vile waacheni Chadema wakaribishe mtu wanayemtaka.

Kama CCM wanataka kufunga goli la mkono Chadema nao wanagoli lao la mkono ambalo linaweza lisiwapendeze wengi wakiwemo baadhi ya wana Chadema, lakini goli ni goli tu watakuja kutuelewa baadaye.
 
Hatimaye chdema nayo yaelekea kufa vuongozi wa chadema kama wamejaliwa maono japo kidogo tu waone athari za kumpokea lowasa chadema ninadhani waweza kuwa kuwa mwisho wake mwema.y
 
Hata mungu alivyotaka kumuangamiza farau..alitumia mtoto ambaye alimlea mwenyewe....ccm lazima wangoke kwa gharama yyte ile....
 

Kama chanzo cha hii taarifa ni gazeti la MTANZANIA hapana kwa kweli

Sio credible source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…