Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

Hv hata sielewi kwa matukio yoote yale leo mnampokea na kumuona shujaa, ngachoka miye, akiwa ccm fisadi akikatwa huko ooohh kigogo atapokelewa, Aaahh .
 
Sipati picha kigogo mwenyewe awe Jakaya Kikwete!
 

Kama katuhonga hajatuhonga hilo mnalijua wenyewe sisi tunachotaka ni kuwalaza CCM chali.
 

Muulize Slaa.
 
Mkuu naona unacheza ngoma husiyo ijua

Nikusahihishe mim si mkuu, pili jitahidi kujifunza uandishi sahihi, neno hili linakuumbua "husiyo" hiyo "h" haikutakiwa kuwepo na badala yake hilo neno lingesomeka hivi "usiyoijua" kosa lako lapili nikulitenganisha neno moja nakuoneka kama mawili na kumbe ni neno moja. "Husiyo ijua" badala yake ungeandika hivi, "usiyoijua" Jipange uje upya.
 
Kama katuhonga hajatuhonga hilo mnalijua wenyewe sisi tunachotaka ni kuwalaza CCM chali.

huo sasa ndio ukabila dhahiri shahiri! yani we kwako iwe isiwe lazima rais atoke kaskazini sio!?
 

Hao mnao wapokea toka Ccm wasipewe madaraka hadi wakitumikie chama na tuone uadilifu wao ndipi wapewe nafasi. Wasije kutufanya kama Shibuda na Leticia.
 
Hao mnao wapokea toka Ccm wasipewe madaraka hadi wakitumikie chama na tuone uadilifu wao ndipi wapewe nafasi. Wasije kutufanya kama Shibuda na Leticia.

Nani atakubaliana na wazo lako hilo wakati mwenyekiti kaishasema!
 

Endelea kucheza ngoma usiku wa giza,mwishowe utajikuta unacheza ngoma ya vibwengo na mwisho wa mchezo unazolewa
 
Lowass awe macho na uhai wake wanaweza kummaliza kabla hajatimiza azima yake.
 
sisiwengine ni wanafkitu tunataka kujua ninini kitatokea hiyokesho lkn kiukweli hatavyama hatuna
 
Kama ni hivyo ngoja nikajiandikishe ili niweze kumpigia kura.manake alivyokatwa nilikasirika hata kujiandikisha sijaenda.hata kama kaenda Chadema sijui mm sijali nitamchagua tunachagua mtu sio chama bana

Tuko wengi fanya mambo mapema tulichague jembe
 
chadema sio tena ile ya walalahoi, imeshanunuliwa na fisadi.
Kwa hiyo unataka Lowassa abaki CCM mbona hamueleweki?

Wakati mwingine huwa nakubaliana na wanaosema Lowassa alibebeshwa Richmond kuiokoa serikali ya Kikwete, wamebaki kuimba ni fisadi lakini hawataki aende Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…