Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,113
- 285,864
kuna mtu kaandika humu kwamba mateka anaweza kutumika kushinda vita ."Chadema kama kanisa, hatubagui mtu unaingia unatubu, unasamehewa tunaendelea kupigania wokovu wa nchi yetu" Hon. Msigwa. M4C for ever
Nina uhakika hata kinachoongelwa hujuiManeno ya mkosaji hayo
we si ulishapata ukuu wa wilaya , shida yako nini tena ?
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Simba wa yuda unamjua wewe au unajiropokea tu? Kama Lowasa atakuwa simba wa yuda Yesu Kristo atakuwa nani? msipoangalia mtaanguka na kumsudia muda si mwingi huyu Lowasa
Mbunge wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika Dar-es-salaam.
Chanzo:Mtanzania
CCM mwaka huu lazima mtafute mchawi wakati mchawi/wachawi mlicheza nao mziki pale ukumbini.
hata kuongea hajui kabisa!!!!!! mbulula tu huyu mnatembea nje ya reli Kazi kwenu
Hakuna jipya hapo. Wajanja tulishajua kitambo. Anapita mule mule
Nina uhakika hata kinachoongelwa hujui
Na ndio maana nikawapeni hongera kupata hayo makapi na chuya za kisiasa na kama bado huelewi basi ni pole tu.
Siasa za mafisadi hizo
nimemueleza kuwa siri mzito anazo aache ushabiki siri za kiapo zipo na zisizo za kiapo zipo siri nyingi wewe unadhani mipango ya ufisadi wanakula kiapo cha kutunza siri vipo vingi ni vya siri kwa chama havihusishi serikali kila chama kinamikakati yake ya ushindi ya siri ni ya chama na siyo ya serikali unadhani aijui kiapo cha serikali ni kulinda vya serikali na ndio maana wana kuwa na ulinzi wanao ufahamu na wasio ufahamu kwa vyeo vyake ana siri nyingi za chama cha mapinduzi
Huyo fisadi hawezi kusababisha CCM iondoke madarakani
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu
Ccm bye bye
Lowasa ndani ya Ukawa...Nchi itatikisika ...Simba wa Yuda ataunguruma muda si mrefu