Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Ngoja nikunong'oneze kidogo! Usimwambie mtu! Haka ka mh kakubwa kuliko wote ka Chadema kidume kweli, kilisambaratisha ndoa ya Mtoto wa mbunge wa chama chake jimbo moja huko Kilimanjaro, mkubwa akawa anakula mzigo, dogo akashtuka akaamua kumuacha huyo mke akaoa mwingine mdogo mdogo, nimekuambia wewe tu usimwambie mtu. CHADEMA OYEE!!
Majungu ya kitoto peleka fb
 
Kama serikali inavurugwa, harafu serikali inavuruga wananchi na maisha, je tutaendelea hivi hivi au wanaovurga serikali wakiwa CCM au ndani ya serikali itabidi wapishe
 
Akiongea ITV jioni hii, Mbunge LEMA amesema kama pinda angekuwa CDM wangemvua UPM na Ubunge, pia wangemfikisha mahakamani kwa yale yaliyotokea kwenye operation kimbunga na tokomeza. Aidha Mawaziri wote wane angevuliwa hadi uanachama kwa fezeha walizofanyiwa wananchi.

Lema amesema CC ya CDM iko makini ktk kufanya maamuzi makubwa ya kuwaajibisha viongozi ndan ya CDM kwa makosa au shutuma zinazomkabiri.

Mtu au raia mmoja akiteswa rais achukkulie kama mmoja ktk familia yake ya damu ameteswa hivyo awe makini na serious kufatilia sualahilo.

Mtangazaji amembana mbunge OBAMA kuhusu CCM kushindwa kufukuza mafisadi, OBAMA kama waliyo wenzake ameshindwa kujibu anadai hata kijiji kinamafsadi, unaongelea wa kkijijn wakati swali ni la kitaifa??

Nawasilisha

Huyo nae toka aliwe 0713...kabang hashuo hazimshuki.....
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
wewe ni sawa na debe tupu haliachi kuvuma,, wenzio tunazungumzia mustakabali wa nchi kiuchumi wewe umekazania ngono tuu badilika!!
 
Lema ni kamanda wa ukweli ccm wanamwogopa sanaaa ccm kiama chenu 2015 serikali ya ccm imepinda kama waziri mkuu pinda mnasubiri mapinduzi au??
 
Waziri mkuu serious tutampataje??? changia mawazo sio kumjadili lema
 
huyu c ndiye mpigaji wa matairi manne!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kweli viongozi tumepata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom