Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Tangu ile kampeni ya kitaifa ya kumvua ubunge MH LEMA ilipobuma , NIMEMVULIA KOFIA HUYU JAMAA !
 
weeee thubutu, kijana wa mtei na mbowe aguswe?! msaka tonge huyu kaingia chamani juzi tu kusaka fursa leo hii amekula ya mbuzi.............................

lema hawezi kuguswa chadema. ameingia kwenye kundi la watakatifu a.k.a chadema chumbani
 
Tangu ile kampeni ya kitaifa ya kumvua ubunge MH LEMA ilipobuma , NIMEMVULIA KOFIA HUYU JAMAA !

mbona alivuliwa ubunge? lema amefyata mkia wachaga wafanyabiashara wa arusha wamemnyamazisha anawaharibia biashara ndio maana maandamano yamepungua
 
Asilimia kubwa ya kauli za Lema. Hazina kichwa wala mguu. Anataka PM afukuzwe, mbona yeye alipopatwa na ile kashfa ya MINI KABANG baada ya picha kuvuja hakufukuzwa?

lema amempiga kitofali mwigamba hajafukuzwa mbona?
 
wafanyabiashara wa arusha wanajuta sana kumchagua lema' uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema
 
wafanyabiashara wa arusha wanajuta sana kumchagua lema' uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema


Acha umbea gamba wewe..... Arusha ipi unayoizungumzia? Kaa kimya kuliko kudanganya watu hapa
 
Jamani chrissLukosi ana kazi humu
 
Last edited by a moderator:
Tunaweza kuwa tumefumba macho lakni hutujalala usingizi mzito kiasi cha kuacha nchi ikienda shagalabagala
 
akichukua mkeo ndo nitaamini shujaa wewe unatetea uzinzi vitabu vyote vya dini vinakataza hapa mh. mbowe ameteleza usiwe mshabiki maandazi Kwa nini asitulie na Mke wake shida ni nini?
 
Suala hapa ni waziri mkuu, je KUB kafika vipi hapa, this is not fair, watu wameuawa na kuzalilishwa, hata pinda nazani anajutia kilichotokea, lakn kuwajibika naona nikitendawili hapa TZ, hawa mawaziri wane wametoka yeye JE???
 
tumeona akili fupi ikijadili watu mara lema mara mbowe,cha msingi ni namna serikali inavyofanya na ofisi ya waziri mkuu.Je tuko salama maisha yetu???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom