Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

hili la uzinzi tuliache maana hat a Rais wetu na mwenyekiti wa CCM si msafi kwenye hili. Hata wewe si msafi najua.
 
Chris Lukosi nilidhani umebakisha heshima na akili kidogo kwa ajili ya mambo muhimu kwa taifa, hivi mama yako angekuwa ndiye aliyefanyishwa mapenzi na mme wa dadayako, ungefanyaje??? unajisikiaje, hivi baba yake angeamulishwa amfanye swala mbele za watoto wake, au afanye mapenzi na mti au achole chatu kwa wembe kwenye mwili wake, acha kejeli kwenye mambo magumu tena ya kitaifa
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

kunasiku roho takatifu itakufungua akili na utajua kujibu hoja!
 
Lema ni mwamba na kasema ukweli na sio wazir mkuu tuu hakuna aliye chini ya
mwamvuli wa ccm ni salama ni her nife ni zikwe kuliko kuwa ccm
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

usifanye utani kwenye masuala ya kitaifa, kuwa mstaarabu, usifikiri watu wote wanafurahishwa na kauli zako, badilika ndugu, ni ushauri wa bure, utaheshimika na jamii tofauti na ulivyo sasa.
 
you cant be hopeless like Chris and at the same time useful like Slaa, so let the fools shout foolishness while the wise ones teach them how to respect not only people but also issues of national interest
 
Unamaanisha Mbowe anafanya uzinzi kwa sababu viongozi wa juu wa CCM nao wanafanya uzinzi? Kama ni hivyo basi hakuna haja ya kuwa na chama mbadala.

Uzinzi hayo ni maisha ya mtu binafsi and has nothing to do with political party.....ndio maana Jacob Zuma aliukwaa urais!
 
Long wat to go. Kwani Pinda hayuko serious? Mbona sura yake anaonekana ni mtu serious sana.
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

zile maksi za darasani zilikua za maana sana; you cant hide from your stupidity

si lazima kila hoja iwe counter-punched

Utaishia ku claim insurance za wizi tu
 
pumzika kwanza ili ubongo wako ukomae kiakili.Tena unahamu ya kutajataja jina la mbowe kwakua anakunyima usingizi wewe na ccm yako.mtaweweseka sana mwaka huu nyie vibaraka vya ccm

Usinihusishe na ccm kabisa hicho chama kilishakosa dira na hakina jipya kinaiga kwa wengine siku zote
 
Kama pinda aliwahi agiza vyombo vya usalama na dola viwapige tu wale wote watakaohisa wanakiuka amri zao, je operation tokomeza sio utekelezaji wa agizo la PINDA??? je anasalia kwa misingi gani??? huruma ya JK, Bunge au Wananchi???
 
hili la uzinzi tuliache maana hat a Rais wetu na mwenyekiti wa CCM si msafi kwenye hili. Hata wewe si msafi najua.

hivi huo uchafu wa rais mbona mnausema juu juu tu hamtupi detail za kutosha kama ishu ya mbowe.mbowe tunajua amafanya uzinzi na joyce mukya na wanakutanaga dubai na wamezaa mtoto anaitwa freelady.haya tuleteeni habar za rais yuko na nani na wanakutania wapi na mtoto wao anaitwa nani.acheni uzushi nyie vifaranga
 
Tunahekima, hatutaji majina usikute jina la mzazi wako likatajwa. utaendelea kuulizia, wakutajie na la shangazi na ukiendelea la dada zako??
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

Lukosi jamani hivi rambirambi za marehemu Mwangosi upo serios kabisa hutaki kumpelekea yule mjane?kuwa na roho ya huruma machozi ya mjane na wale yatima yatakuandama kwelikweli.
 
Lukos hujagundua kila siku unajibishana na wavuta bangi,wanywa gongo hakuna majibu watatoa zaidi ya rambirambi na buku saba basi ndio sera zao.
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom