Lema: Sitapeleka ushahidi wangu uchochoroni tena!!

kwanza kwangu mimi nilishindwa kabisa kuelewa pale lema aliposema kikwete ndio chanzo cha udini,kwa sababu tu hajatoa tamko kuhusiana na serikali kukabali wakristo wachinje,hivi LEMA hajui kuwa waislamu wana madai mangapi ya msingi kwa serikali na hakuna hata moja limetekerezwa kihalisia?hapa ndipo huwa nakubali kuwa CHADEMA inahitaji sana nguvu ya wakristo ili iingie madarakani,kwani kila ajambo ambalo limegusa ukristo cahdema wankuwa na nguvu nalo sana kulitetea na kuisema serikali kuwa ina udini,maaskofu ktk waraka wao kwa serikali kutokana na haya yanayosemwa nanukuu, wanasema ya kwamba serikali hii inawapendelea sana wakristo na wataambia waumini wao ya kwamba wasiikubali na waiondoa madarakani, baada ya kauli hii LEMA anaibuka na kusema ya kwamba kikwete ni muasisi wa udini(yaani anawapendelea waislamu),inashangaza ukiangalia takwimu sote za viongozi wa taasisi ya serikali wakristo wapo juu,ukiangalia maamuzi ya jeshi la polisi kwa waislamu ni makubwa kuliko kwa wakristo,angalia watuhumiwa wa kuvunja makanisa hakupewa dhamana, ila waliovunja msikiti TUNDUMA wote wapo nje kwa dhamana,ukiangalia mashekh wananyimwa dhamana eti uchochezi,lakini walio chochea vurugu tunduma pamoja wapo nje na hawajashikwa,katika suala la ushirikiano wa makanisa na serikali(MOD)kikwete aliwambia waisalmu ya kwamba wamechelea hivyo hawawezi kupata msaada huo, suala la uchaguzi maaskofu wao ndio walimsema kikwete ni chaguo la MUNGU,sasa wapi kikwete kawabeba waislamu???
CHADEMA mbinu yao kubwa ni kutumia neno udini kwa maana ya uislamu, huku wao ndio wadini wakubwa.
 
Hongereni Chadema kuonesha
Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote
wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna
alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi
kwenu!

Sasa we ukisema hivyo wakiristo wote wakiamua kukiunga mkono chadema kwa maneno yenu itakuaje? Acheni kuchokonoa haya mambo yatawacost
 
Hongereni Chadema kuonesha
Picha yenu halisi dhidi ya Uislam, Wabunge watano wa Chadema wote
wamekariri kilio cha Mwadhama Pengo kuwa Kikwete Mdini ila hakuna
alojaribu kusemea kilio cha waislam. Haya Waislam mlio chadema kazi
kwenu!

We vip? tumia akili yako
 
Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.
Nawasio na dini pia wangependa kujua wapo wangapi.
Udini mkalia kujua waisilamu na wakirsto! Wasio amini pia wamo je wamewakilishwa? Maana udini ni pamoja nakutotambua wasio amini uki chagua wanao amini nakuwaacha Wasio amini pia ni mdini
 
Lema kaishaona mambo magumu anatafuta pakutokea tatizo la kuropoka ovyo.

Lema peleka ushahidi bungeni acha kulia lia.

Siku saba siyo nyingi.

Lema Waislam wanataka kujua udini wa JK ili wapime serikali ya JK dini ipi wamejaa serikalini Waislm au Wakirsto.

Ni kazi rahisi kuficha mwanya kuliko kuficha upumbavu. Lema amesema Rais ni mdini, wewe umekuja na mpya, WAISLAM WANATAKA....waislam wewe umekutana nao wapi?

Kama ni waislam wanataka hakuna haja ya kupeleka ushahidi bungeni, mwambie aupeleke msikitini au BAKWATA
 
Sio hekima kwa kiti change spika kudai Lema kuleta huo ushahidi kwani ni hatari kwa usalama wa Nchi iwapo Lema hatafanikiwa kuleta ushahidi wenye nguvu unaothibitisha madai yake, kwani itabidi raise hajiuzulu,hapa naona kiti kilikosa hekima
 
a Sued Kubenea mhariri wa gazeti lililokuwa likiitwaga Mwanahalisi ndio aliemkabidhi Mabere Marando simu mbalimbali za watu wanaowasiliana na viongozi....Kubenea katika kumpa simu hizo alikosea badala ya kuweka simu ya Jack Zoka akawekaya Zitto kabwe jambo ambalo limesababisha ugomvi mkubwa kati ya Zitto na Marando

Hata hivyo haijajulikana has nani anaempa Kubenea jeuri ya kuendelea kufatilia simu za watu mpaka leo pamoja na kuwa hata gazeti lake lilifungiwa kwa makosa hayo hayo
Kimsingi pia huu ni aina ya ugaidi wa mawasiliano ya watu unaofanyika
 
Chadema mnakosea sana kubeba ma agenda ya dini haya , hizo habari mngewaachia ma sheikh na ma padri. Sasa mtashangaa ita tarnish sana image ya chama chenu!! Kuna siku mtakuja ku regret...
 
Busara hapa ni kupeleka na unaowapelekea kutokupa adhabu ima kwa vithibitisho vyako kuwa vina ukweli na wao kuona aibu kuumbuka au achague kutokuwa na busara kwa kutopeleka na kuwapa mwanya kufikia maamuzi kwamba hukupeleka vithibitisho na ameshindwa kuithibitisha na kuamua kumpa adhabu kwa kauli uliyoitoa na kushindwa kuthibitisha.Ushauri kama kweli anaweza kuthibitisha apeleke la sivyo atakuwa ameshakata tiketi ya adhabu dhidi yake.kwani kutofanya hivyo ni sawa na kushindwa kuthibitisha. Hasira ya mkisi furaha kwa mvuvi au Hasira Hasara!

Kwanza naunga mkono juu ya udini wa CCM na JK wake hasa kt kutafuta turufu kisiasa, mifano tunayo mingi tu kama
-kt uchaguz wa igunga walipotuingiza waislam kt dhambi ya kumuunga mkono mama mkuu wa wilaya fatma kimaro wkt hakuwa na ata chembe ya uislam na amekuwa akiish na mwanaume pasi na ndoa halal ya kidin,
-pia wakati CUF ina nguvu CCM ilikua ikidai cuf ni chama cha kidini ili wakristo wakichukie pia kupitia Omar mahita ilidai CUF imeingiza shehena ya majambia mpaka leo hatjui kesi ile iliishia wapi, leo udini umeshamiri katu CCM na m.kiti wake JK hawajitoi kt hili swaga.
Mimi nafikili busara ni je ushahidi utafanyiwa kaz publicly au utafichwa kama shahidi nyingine zilizopata kutolewa kipind cha nyuma ambazo zote zimelaliwa mpaka kesho mmoja ukiwa ni wa kwake lema.
Ivyo busara kwa kamanda lema ni kupeleka kopi bungen na kupeleka kopi nyingine magazetini pia majukwaani ili tuelewe alimaanisha nini.
Angalizo juu ya ili tsilibebe ili kwa ni kashfa kwa au ktoikubal din fulan la hasha, bali tuwe kidete kupinga mipango ii ya CCM kutugawa kwan vita ya kidini ikitokea sote tutakuwa wahanga na 2tajuta
 
Ni kazi rahisi kuficha mwanya kuliko kuficha upumbavu. Lema amesema Rais ni mdini, wewe umekuja na mpya, WAISLAM WANATAKA....waislam wewe umekutana nao wapi?

Kama ni waislam wanataka hakuna haja ya kupeleka ushahidi bungeni, mwambie aupeleke msikitini au BAKWATA

[h=5]Chadema Wamshambulia Kikwete,Godbless Lema na Wenzake Wadhihirisha Mfumo Kristo.

Bungeni Dodoma juzi kumetawaliwa na Fujo na ghasia pamoja na Matusi ya Nguoni ikiwa ni Malumbano au Mfumuko wa Mjadala wa Udini ukipamba Moto,

Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai amewaamuru Maofisa wa Bunge kumtoa Nje Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema na wenzake 4 baada ya kutoa kauli iliyoonekana kuwa ni ya Uchochezi na kumtukana Rais wa Nchi Jakaya Mrisho Kikwete kwa yeye na chama chake CCM ndio wanaochochea Udini Nchini Tanzania.
...
Lema aliituhumu CCM na Serikali yake chini ya Rais Kikwete kwa kushindwa kutatua mgogoro wa kidini na badala yake kuwa kama analikwepa tatizo. Alionya kuwa Taifa linapasuka kwa migogoro kutokana na viongozi wa Serikali kushindwa kulishughulikia.

Kauli iliwanyanyua vitini Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Uratibu na Sera), William Lukuvi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
Lukuvi na Jaji Werema walisimama wakidai kuwa Lema alikuwa amemdhihaki Rais Kikwete kwa kauli zake za kumhusisha na masuala ya udini.

Kauli ya Lema inafanana sana na kauli ya Askofu Polycap Kadinali Pengo alipotoa kauli ya kuikemea Serikali ya Kikwete kwa kushindwa kuwalinda na kuhakikisha usalama wa Viongozi wa Kikiristo kauli iliyowatetemesha viongozi wa serikali ya Kikwete na ukaamuriwa ulinzi uimarishwe Makanisa yote wakati wa pasaka mwezi uliopita.

Wassira akifahamu yeye ndiye, Waziri ailyekwenda Mwanza na kuwaacha viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu watatue wenyewe suala la kuchinja. Sasa alitaka diwani atatue mgogoro ule?" alisema lema

Chadema wanaonekana kutaka kuifaidi na Mchafuko wa Udini huko ikiunga mkono pande mmoja ya Kanisa na kudhihirisha Mfumo kristo Nchini tanzania,itakumbukwa Mgombea wake aliyesimama kugombea Urais mwaka 2010 Wilibraod Slaa ni Padre wa Kanisa la Dayosisi ya Mbulu na alishawahi kufanya kazi kwanzia 1980 kama Development Director,Diocese of Mbulu (Catholic Priest).See More
[/h]
 
Time tell.but ccm wachache magamba wanaangusha chama lipo wap azimio la arusha ? Tanzania ni wajamaa kwa maandish vitendo ni mabepar je tutafika? Lema anaongea ukwel? Truth is there even you ignore it
 
Back
Top Bottom