Bungeni muda kidogo uliopita kwenye mjadala wa wizara ya mwakyembe, suala la serikali kuwa ndege zake lilipamba moto. Wabunge wengi walichangia lakini mchango wa mh. lema ilisisimua kwa jinsi alivyokuwa anajenga hoja, anasema ...........mnaionea serikali hii bure, serikali ilioshindwa kununua madawati, vitanda hospitalini na huku ikiwa na utajiri wa ardhi, utalii, madini km tanzanite, uranium, nk leo hii mnaiambia inunue ndege?
Akaenda mbali kwa kusema kuwa tatizo la viongozi wa serikali ni -ve thinkers! Haiwezekani kikao cha mawaziri mbele ya rais ikashindwa kufanya maamuzi ya kununua ndege, kwamba serikali inaajiri kwa kutumia vyeti vyeki badala ya commitment!