Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 246
uhuru? Katika serikal ii ya cCM hakika kesho yetu ipo matatani.mbna ni jana tu nimetoka kuwaona wanachuo walivyochapika kwa kudai haki zao,gazeti linamchafua mtu mmoja mmoja kwa kauli za kiuwanamapinduzi kama za lema, Msingwa,we unafikiri nani anataka uu upuzi? Hata wakificha ukwel teyari tumeshajua
uHURU=uTUMWA
Try again later!
uHURU=uTUMWA
Try again later!