Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

Najua watu wasiotaka kuambiwa ukweli watakataa lakini huu ndio ukweli wenyewe. Wote wanaweza kuhamasisha maandamano ila wanachozidiana kwa hili ni jee hayo maandamano yana tija yoyote au ni kujitafutia umaarufu?

ndugu yangu wanachokisema hapa hawa waandishi ni upotoshaji mkubwa. mimi nilikuwepo pale dodoma siku kadhaa kabla ya mswada wa katiba na kilichotokea si watu kupewa fedha ili ni wao kuambiwa waje kwa wingi kuja kutetea katiba kwa maslahi ya wengi. siyo lema mwenyewe aliyekuwepo kuwahamashisha wapo watu wengine ambao hawafungamani na upande wowote kisiasa kwa upande mwingine ni wanaharakati waliweza kufanya huu ushawishi na watu wakawa wengi. kama ulifuatilia walipokuwa wanatoa maoni yao hwawkujitambulisha kama wao ni wanafunzi ila walijata mikoa wanayotoka. na pia kumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya mapumziko watu wengi( wanafunzi) walikuja kwa wingi ndio maana siku inayofuata hakukuwa na watu kwa kuwa wanafunzi waliendelea na masomo. ni wajibu wetu kushirikiana na kueleza wenzetu kuhusu mustakabathi wa nchi yetu. jaribu kufikiria kama yale mabomu yasingepigwa watu mswada wa katika si ungekuwa umeshapita mda mrefu.
 
Back
Top Bottom