DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.
Akizungumza na
waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa
Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa
Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza
kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na
kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki
kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila
imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa
mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.
Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika ofisi ya chadema mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki Bw.Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho ktk simu yake ya mkononi.Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa arumeru mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema.
Peleka hiyo houseboy mahakamani, Mkuu wanasheria wa Lema waikalie waisuke kiukweli. Na ushahidi wa video upo na wanafunzi wako tayari kutoa ushahidi wao live. Ondoa hili houseboy Arusha, hana hadhi ya kuwaongoza wana arusha.
kama kweli alitumiwa sms za vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake hapa
kama kweli alitumiwa sms za
vitisho anayo haki ya kumpeleka mahakamani for sure
Ila pia ndugu zangu tukumbuke mpaka sasa Lema hakuna kitu anafanya
Arusha tofauti na fujo. Ni muda sasa wa yeye kukaa na kufanya yale
alotuhaidi. Maana hata hivyo miaka mitano ishafikia nusu yake
hapa