Nimecheka mbavu sina.Halafu utakuta anavaa magwanda anajiita Kamanda.!!!!! Kamanda wa ukweli anaweza shinda siku tatu kwa njaa akaanguka kwa njaa????
Waache kudadia magwanda na kujiita makamanda.wawaachie makamanda wa UKweli.Mtu njaa ya siku tatu TU hadi analazwa na kuwekewa drip???? HA HA HA HA
[emoji15] [emoji15] i like!!Nimecheka mbavu sina.Halafu utakuta anavaa magwanda anajiita Kamanda.!!!!! Kamanda wa ukweli anaweza shinda siku tatu kwa njaa akaanguka kwa njaa????
Waache kudadia magwanda na kujiita makamanda.wawaachie makamanda wa UKweli.Mtu njaa ya siku tatu TU hadi analazwa na kuwekewa drip???? HA HA HA HA
Kweli mkuu ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya maamuzi!!Anatakiwa afunguliwe mashitaka ya kutaka kujiua kwa makusudi!
Wewre utaishi MILELEKama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.
Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.
Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.
Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.
View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Halafu ma-ccm wakifa tukishangilia mnanuna.Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.
Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.
Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.
Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.
View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Elimu....elimu....elimu...ndo tatizo!nilishawah kusema....Arusha city wamefanya kosa kubwa la kuchagua mbunge kama huyu.....usanii wa kitoto kabisa ili ajipatie umaarufu wa kijinga!hakuzimia wala nini....alikua na nguvu zake tele....aliongea kwa jazba kama alivyoonekana na kwa kuwa camera zilikuwepo pale akaona ngoja amalizie maigizo yake....check hizo picha....mtu aliyezimia kwa njaa kali muda mfupi anaongea na vyombo vya habari akiwa kitandani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....tena usikute aliwaita waingie chumbani wamhoji[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] bure kabisa!nyumbu kama walivyoandaliwa walimbeba msanii....mbavu zangu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.
Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.
Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.
Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.
View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Kwani anajua kupika uji?...
.......nenda kampikie uji unampenda sana Kamanda....asubuhi asubuhi hii kimbelembele na Kamanda
Si kina mrema wameshaondoka? Au?safari hii wapinzani mtaipata. kama kuna upinzani uchwara utajiondoa wenyewe automatic...
Nyie mnshangilia vifo ambavyo vimepangwa na Mungu. Vifo vya kushangilia ni kama vya kujitakia mfano kama Lema angekufa jana kwa sababu ya njaa ya kujitakia hilikuwa haki yako Kula bataHalafu ma-ccm wakifa tukishangilia mnanuna.
Kwanini asianguke siku zingine?Kwani kila MTU anapoanguka anakua nanjaae kweli bado ni manyani sana
Yale yalikuwa maigizo ya kutaka kick kwa wanahabari ili aonewe hurumaKama ni umaarufu kwa sababu ya kuzira chakula ameupata lakini matokeo yake ameona ndani ya muda mfupi. Siku hizi Mungu hakopeshi unalipwa hapohapo.
Ni upuuzi mtupu kusingizia Polisi kutokana na kuanguka kwake mahakamani. Anaipa tabu familia yake hasa mke wake kumuuguza ugonjwa wa kujitakia.
Mtu ambaye hajawahi kuthubutu kukosa hata chai tu ya asubuhi leo anazira chakula kwa siku tatu anategemea nini. Ni sauti kubwa aliyoitoa kuwafokea Polisi Mahakamani ndiyo iliyomfanya aishie pumzi kwa sababu ya njaa.
Iwe fundisho kwake kuinusuru familia yake na magonjwa yanayotokana na msongo wa mawazo.
View attachment 390137
View attachment 390138
View attachment 390139
Mwanaume siku 42 na mwanamke siku 50. Si uliwaona wale wa Kahama waliofunikwa kwenye machimbo?SIJUI ULISHASOMA SOMA LA BIOLOGY?? MWANAUME ANAUWEZO WA KUKAA SIKU NGAPI BILA KULA NA MWANAMKE ANAUWEZO WAKUKAA SIKU NGAPI BILA KULA, UKISHAJUA HILO USINGEANDIKA HICHO ULICHOKIANDIKA😳😳😳
Vifo vya maccm ni kutokana na kuvimbiwa ulafi wa kodi na dhuluma wanaziwafanyia watz acha kumsingizia mungu kuhusu vifo vya macc.Nyie mnshangilia vifo ambavyo vimepangwa na Mungu. Vifo vya kushangilia ni kama vya kujitakia mfano kama Lema angekufa jana kwa sababu ya njaa ya kujitakia hilikuwa haki yako Kula bata