Tulia kwanza dogo angalia upepo unaendaje!!! Vibaraka bado wana nguvu na kisasi kile kile!! Subiri watumbuliwe na covid make walikuwa karibu sana na marehemu.
Ana umuhimu kwa familia na marafiki na kazi zake. Hivyo ndio hujenga nchi. Nchi ni watu, ni mtu mmoja mmoja ni kama shilingi na fedha. Nchi ni kama fedha na watu ndio shilingi.
Aaah wapi mtesi wake kapanda cheo mida hii yupo training jinsi ya kuongoza malaika.Vishetani vidogo vidogo havina madhara hata Mange December nyumbani kumenoga.