HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,993 Reaction score 102,833 Mar 19, 2021 #21 johnthebaptist said: Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu! Click to expand... Yataisha yote
johnthebaptist said: Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu! Click to expand... Yataisha yote
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,993 Reaction score 102,833 Mar 19, 2021 #22 Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Mwenye hiyo roho kafa nayo
Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Mwenye hiyo roho kafa nayo
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Mar 19, 2021 #23 Hajawekeza huko aliko?
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 28,347 Reaction score 57,253 Mar 19, 2021 #24 Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Unafikiria wakati huu kuna ujinga wa kipindi cha Magufuli. Usimpenda kaja, na usiowapenda wanakuja. Tanzania mpya ya upendo isiyo na ukanda.
Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Unafikiria wakati huu kuna ujinga wa kipindi cha Magufuli. Usimpenda kaja, na usiowapenda wanakuja. Tanzania mpya ya upendo isiyo na ukanda.
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Mar 19, 2021 #25 Karibu sana bro! Tanzania mpya inakuja. YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,487 Reaction score 3,356 Mar 19, 2021 #26 Arudi tu tanzania alipe madeni yake yote aliyoacha
Kagemro Platinum Member Joined Jan 11, 2010 Posts 1,576 Reaction score 792 Mar 19, 2021 #27 Hahaaaaaa you thought life is easy abroad! Huku hakuna pata potea.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Mar 19, 2021 #28 Kwani nani aliyemfukuza,wenzie mbona wapo awakukimbia?
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,487 Reaction score 68,270 Mar 19, 2021 #29 Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Haya mawazo ya kijima mtatembea nayo kwenye vichwa vyenu mpaka lini?
Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... Haya mawazo ya kijima mtatembea nayo kwenye vichwa vyenu mpaka lini?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,707 Reaction score 272,600 Mar 19, 2021 #30 Karibu nyumbani nabii Lema
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,658 Reaction score 38,352 Mar 19, 2021 #32 Kwani kuna mtu alimfukuza?
Trillion JF-Expert Member Joined Apr 24, 2018 Posts 3,329 Reaction score 7,499 Mar 19, 2021 #33 imhotep said: Karibu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta Click to expand... Yalichelewa miezi 5tu. Lema ni Nabii, Rudi nyumbani kamanda
imhotep said: Karibu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta Click to expand... Yalichelewa miezi 5tu. Lema ni Nabii, Rudi nyumbani kamanda
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,493 Reaction score 17,535 Mar 19, 2021 #34 mtanzania1989 said: Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao. Click to expand... Tuliza mshono! Sio kila mtu ana roho mbaya kama marehemu.
mtanzania1989 said: Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao. Click to expand... Tuliza mshono! Sio kila mtu ana roho mbaya kama marehemu.
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,423 Reaction score 11,439 Mar 19, 2021 #35 mtanzania1989 said: Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao. Click to expand... Anayetenda kwa haki ametenda haki tulia tuko kwenye msiba, hao ni watanzania wenzetu waje nyumbani
mtanzania1989 said: Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao. Click to expand... Anayetenda kwa haki ametenda haki tulia tuko kwenye msiba, hao ni watanzania wenzetu waje nyumbani
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,408 Mar 19, 2021 #36 Nyumbani ni Nyumbani gida ulabu mwanangu bariidi
Syolosu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2019 Posts 865 Reaction score 1,016 Mar 19, 2021 #37 Kwa amri ya nani? Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand...
Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,698 Mar 19, 2021 #38 Madili yote yalikomeshwa , utafanya nini ukirudi? Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
macson3 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2017 Posts 1,134 Reaction score 1,231 Mar 19, 2021 #39 Sasa anataka kurudi kupambana na serikali harafu anataka serikali imebarike, ana wehu huyo.
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,880 Reaction score 7,023 Mar 19, 2021 #40 Laki Si Pesa said: akitua airport tu, moja kwa moja jela Click to expand... kwa kosa lipi?