Naona mmekaa watatu mnajibisha wenyewe kwa wenyewe!!! Yaani Arusha saa hiz watu wako kwenye kazi hawapotezi muda. Lema ni raisi wa Arusha wala huna hata wazo la kumbadilisha. Na madiwani wa ccm waliobaki waambieni wakusanye virago. Mbona jk mwenyewe anajua hafanyi ziara arusha. Mtatukanaa lkn wanaarusha tunaelewa na sisi ndio final. Rukeni rukeni tumekuja " DELETE KABISA" Kufagia buibui wote maana arusha mlisha kaa.
CCM na makanjanja wao wa gazeti la uhuru ni majanga matupu,wanasema kuwa zahanati íliyozinduliwa na Lema na Msofe imejengwa na serekali kwa kushirikiana na wananchi,ilíkuwa imepangwa kuzinduliwa na mwenge wa uhuru.Sasa sijui serekali ni nani na wananchi ni nani.Kama Lema na Msofe wamezinduwa hiyo za hanati wanahaki ya kufanya hivyo kwa vile wao ndio wananchi wenyewe waliojenga na iko kwenye jimbo lao.Kerere zote za makanjanja wa gazeti la uhuru ni kwa vile Lema na Msofe wametumia haki yao ya kuzindua Zahanati walioshiriki kuijenga wakati wao walikuwa wanataka Zahanati izinduliwe na mwenge ambao haukutoa hata senti moja zaidi ya kutumia kile kilichotafutwa na wananchi.
Hadi uwe mtumiaji wa dawa za kulevya ndo utaweza kumuelewa Mh. Lema.
CCM na makanjanja wao wa gazeti la uhuru ni majanga matupu,wanasema kuwa zahanati íliyozinduliwa na Lema na Msofe imejengwa na serekali kwa kushirikiana na wananchi,ilíkuwa imepangwa kuzinduliwa na mwenge wa uhuru.Sasa sijui serekali ni nani na wananchi ni nani.Kama Lema na Msofe wamezinduwa hiyo za hanati wanahaki ya kufanya hivyo kwa vile wao ndio wananchi wenyewe waliojenga na iko kwenye jimbo lao.Kerere zote za makanjanja wa gazeti la uhuru ni kwa vile Lema na Msofe wametumia haki yao ya kuzindua Zahanati walioshiriki kuijenga wakati wao walikuwa wanataka Zahanati izinduliwe na mwenge ambao haukutoa hata senti moja zaidi ya kutumia kile kilichotafutwa na wananchi.
Umeongea vema maana si unajua navyotumiwa kuuza madawa ya kulevya na mtoto wa mkuu wa kaya. Kweli huwezi elewa wewe maana unaelewana na watumiaji madawa tu. Arusha mlishakaa chini siku nyingi. Nilikutana na chatanda juz nikamuuliza ccm mbona mmeshindwa Arusha akajibu watu wa arusha hawaeleweki. Hii n kauli ya kukata tamaa na kweli hamuwezi kutuelewa ila Lema anaelewa. Muulize Kinana hivi Joshua alipata kura ngapi pale kijijini kwako makiba ndio utaelewa kuwa kama katibu wa ccm amekataliwa hadi na wa nyumbani kwake nini maana yake.
subiri utoke Mirembe uje ukoment vizuri
! Lema kawashika pabaya ma ccm
Kwani lema unadhani amewahi kuwa na akili hata siku moja?
hebu kidogo tuzungumzie jambo la kitaifa. Hivi chagadema/ukawa nani atagombea uraisi?
lEMA ALIUZA AMBULANCE MBILI ZA WAGONJWA NDO AJENGE HOSPITALI! ACHENI KUCHEKESHA!
hawakushiri si hata kwa kutoa mchango, bali hata kuhimiza wananchi kuijenga badala yake walikuwa wakihubiri kwa hao wananchi kutokushiriki ujenz huo. LEMA AMEUZA AMBULANCE YA WAGONJWA NDO AJENGE HOSPITALI?
Kwa hiyo mwenge ndio uliojenga?.
Kwa hiyo ulitaka Mwenge au Mzee Mkasi(Bilali) ndio waje kuzindua hiyo Zahanati. Lema ni mwakilishi wa wananchi na kufanya hivyo ni haki yake kabisa.
Lema hana akili