Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Lema na Lissu lini mnarudi Tanzania?

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,885
Reaction score
19,640
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?

Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lissu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
 
Hayajakukuta Ndugu,Risasi 16 halafu waliotaka kukuua bado wanakupigia simu za kukuambia kuwa watakumaliazia kazi walioianza

Shujaa wa Mazezeta alitufikisha sehemu mbaya sana
Alikuja hapa akafanya kampeni miezi mitatu chini ya ulinzi wa mwendazake .

Dereva anahitajika ili aje atoe maelezo lakini amefichwa
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Lema alikimbia madeni bado anadaiwa. Huyo Lissu amepewa Urais wa Mashoga huko Ulaya na Afrika ya Kusini
 
Alikuja hapa akafanya kampeni miezi mitatu chini ya ulinzi wa mwendazake .

Dereva anahitajika ili aje atoe maelezo lakini amefichwa
Dereva alikuona vizuri subiri akirudi akutaje
 
Ulipo shindwa kumpiga Lissu risasi kipindi cha kwanza safari hii unadhani utampata?
Mbona alirudi wakati wa uchaguzi na hakuna mtu yeyote aliyehangaika naye ila watz wakamwonyesha kwenye sanduku la kura akawaambia waingie barabarani wakamshit akaamua kukimbia
 
Mbona alirudi wakati wa uchaguzi na hakuna mtu yeyote aliyehangaika naye ila watz wakamwonyesha kwenye sanduku la kura akawaambia waingie barabarani wakamshit akaamua kukimbia kwenda kuwa kiongozi wa mashoga.
Kwahiyo ni kiongozi wako?
 
Corona inatisha sana.
Sasa hivi mama Samia ndiye rais wa JMT
Kila mtz anajua Mama Samia ni Rais wa JMT kiasi hata wanasaccos kama wewe wanamkubali wamerudi CCM. Ila msitegemee kuanza kuuza madawa na ufisadi tena mtashughulikiwa kama wakati wa Jemedari JPM.
 
Kwani Tanzania mwenyewe anasemaje🙄🙄

Anawahitaji!!!???
 
Walituaminisha wamekimbia nchi na kwenda kulelewa na wanaume wa kizungu kama wakimbizi kwa sababu hapa nchini walikuwa wanatishiwa maisha na mwendazake.

Sasa hivi mwendazake hayupo je ni lini mtaacha kuishi kwa kulelewa na wazungu Ulaya mrudi Tanzania kujenga nchi na kula kwa jasho lenu? Tunahoji haya kwa sababu tunaona mko kimyaaa.

Mkiendelea kukaa kimya watu watajua mlikimbia nchi kwa masilahi yenu na siyo kwa kutishiwa maisha na mwendazake. Kwanza wewe Lema ulilipa lile deni lako la million 400 lililosomwa na spika Ndugai bungeni?
Rudi ulipe madeni ya watu.
Na wewe mzee wa MIGA Lisu rudi hutawakuta Acacia uliokuwa unawatetea sana utakuta kampuni mpya ya madini inayoitwa TWIGA.
Kwa nini useme wanalelewa tena wanaume wa kizungu
 
Hayo majamaa yameingia choo cha kike.
 
Back
Top Bottom