Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,441
- 5,743
Yawezekana waliombana msamaha, kiushkaji. Na hapa sio Lema pekee, viongozi wengi wa CDM hii inawahusu. Lakini kwenye siasa kuna mambo ya ajabu, mtu anaweza kumtukana mwenzake baada ya muda wako wote wanakunywa juisi pamoja!
Ndugu zangu,
Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi"..
Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.
Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.
Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
Nimemsahau unaweza kunikumbusha, kama fursa ya kumbukizi imeshakurejeaLakini kwenye list ya waliobenza LOWASA wakajiondokea zao wale wa CCM siwakumbuki nikumbushe mkuu mmoja ni yule alieacha yule zezeta bungeni
Nje ya madaMleta uzi nakusalimu kinafiki na kukutahadharisha utafute kazi nyingine ya kufanya kuanzia 2020 kwani hutorudi tena bungeni! Isitoshe, hiyo nafasi unayohudumu hutoshi tena kwani hakuna ulilolifanya kuiwezesha timu yetu ya taifa ishinde na hata ushindi wa Mwakinyo hauna baraka za ofisi yako bali ni nguvu zake binafsi na maswahiba wake wachache! Wewe umelala fofofo ukiwa umevimbiwa posho na marupurupu yatokanayo na kodi zetu tu ukimuwaza Mbowe, Lema na cdm as if ndio wamiliki wa ofisi yako!
Kumhusu Lowasa unahusika moja kwa moja kumchafua ukishirikiana na msukuma na kina kibajaji! Mlimdhalilisha sana na kumkebehi mno hadi watu wakampa kura za pole mlizozipora!
Muombe radhi usijepata ya yule wa mahenge kwani dua za wazee wa aina yake husikilizwa sana na mwenyezi Mungu!
Jiandae wewe! Baada ya pasaka hicho cheo cha kinafiki ulichohongwa kinakwenda kuchukuliwa na wewe utarudi kukaa backbench kupigapiga meza! Pata uzoefu kwa kina mwigulu na nape wa namna ya kuishi bila unaibu!Nje ya mada
Ndugu zangu,
Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi"..
Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.
Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.
Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
Wakati wewe uko busy hapa kupika siasa za mtaroni majukumu yako ya ofisi yanafanywa na Bashite pamoja na stive nyerere.Ndugu zangu,
Godbless Lema kipindi anafanya kampeni mnamo September 2013 kumpigia Debe Nassari alisikika akisema "...ni heshima kubwa kwa mungu kumuita Lowassa fisadi"..
Mengi yamepita na hata Lowassa alipojiunga CHADEMA Lema aliishi kwa wasiwasi. Tangu Nassari avuliwe ubunge Lema amekuwa kimya na mwenye aibu nyingi ukizingatia alivyompigania halafu dogo hayupo siriazi.
Ikumbukwe pia,Lema na Nassari walishiriki movie ya kuua na kuzika mbwa.
Ukweli utakuweka huru ndugu Lema,usiishi kwa wasiwasi na aibu,mtafute Lowassa na umuombe radhi.
Tena hapo kwa mwigulu atapata uzoefu sana kwasababu ndiyo anamkojoza huyu binti.Jiandae wewe! Baada ya pasaka hicho cheo cha kinafiki ulichohongwa kinakwenda kuchukuliwa na wewe utarudi kukaa backbench kupigapiga meza! Pata uzoefu kwa kina mwigulu na nape wa namna ya kuishi bila unaibu!
Jikite kwenye hojaWakati wewe uko busy hapa kupika siasa za mtaroni majukumu yako ya ofisi yanafanywa na Bashite pamoja na stive nyerere.
Sent using Jamii Forums mobile app