LEMA mikononi mwa LISSU...

sidhani kama unafatilia habari hizi vizuri!

huyu maundumula sijui mavitumbua ukifuatilia vizuri post zake utagundua hajui chochote kwenye siasa za tanzania,anafaa kuwa anacomment kwenye jukwaa la celebrities,.kila siku yumo jukwaa la siasa lakini hajifunzi kitu humu,naona kama huja kupoteza mda na sio kujifunza
 
Kamanda Lissu maliza salama harakati za awali za msiba wa Baba tujongee Arusha. Tuna matumaini sana nawe. Yaani...
 
Back
Top Bottom