Lema matatani tena, polisi wavamia studio

Police, TISS na CCM wanadhani watabaki kileleni daima? Wanaipeleka nchi pabaya
 

acheni pombe za asubuhi mnatupotezea muda..SASA MATATANI KWA KIPI? MBONA HUJAONYESHA HAYO MASWAHIBA..dnt look for cheap popularity on JFF
 
inakera kichwa cha habari na kilichomo ndani havirandani. hizo nyimbo zinatoka lini?
 
hii habari ipo kwenye gazeti la Mwananchi mtandaoni lakini haijaelezwa kwa kina, mtu aliyesoma gazeti la mwananchi anaweza akaeleza vizuri.
 
polisi kubambikiza kesi wilaya ya hanang na kuzidi kuzuia dhamana hiyo ni hatari kubwa sana
 
Wananchi kukamatwa ovyo wilaya ya hanang na kunyimwa dhamana tunaomba msaada watanzania wenzetu pia wagonjwa mahabusu hawapewi huduma ya matibabu tuwasaidie jitokezeni
 
Kuna watu wanapenda sifa sana kama huyu jamaa daaahhh amezidi sasa
 
Lema tuko pamoja tunakukubali sana tunaomba CD hizo tuzipate mapema
 
mara ya mwisho nilisikia John Mkoloni anawania kuwa diwani huko kwao, je alishinda mana sikubahatika kusikia taairfa zake hadi napopata habari hii ya kurekodi na Mh. Lema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…