uungane na nani wewe kilaza? hilo unalo omba ni sawa na kukesha ukiomba kuku wageuke kuwa samaki!! Arusha ukawa wameshinda viti vya ubunge 24 kati ya 25 halafu utegemee washindwe ubunge!!
Ulipolihusisha jina la Yesu na kumwombea Lema ashindwe ubunge nilifikiri ni issue serious LAKINI niliposoma signature yako nikajua tu hawa ni walewale na ile ile. Hakuna lolote Wana Arusha tunamwombea kila la heri kamanda Lema.
Hata mimi kwenye kampeni za Lowassa nilikuwa naenda. Of course sio kusikiliza pumba zake...bali kutazama namna anavyo tetemeka na anavyo jinyea. Nilitaka nijionee kwa macho. Na Jumapili sikufanya makosa....nilimkata!
uungane na nani wewe kilaza? hilo unalo omba ni sawa na kukesha ukiomba kuku wageuke kuwa samaki!! Arusha ukawa wameshinda viti vya ubunge 24 kati ya 25 halafu utegemee washindwe ubunge!!