LEMA kuwa mkuu wa Operesheni Shinda Arumeru

Lema, saizi hana kesi Chadema wanatakiwa wamuache apumzike hajipange jinsi ya kupambana na kesi yake Arusha, anaweza kupewa hiyo nafasi yakazuka mengine, kuna watu muhimu ndani ya Chadema wanaweza kufanya kazi hiyo yupo John Shibuda, hanaweza kuongoza jahazi la Chadema Arumeru Mashariki.
 
Wakuu hii game Wameru wakikubali kuhongwa si hatumo!. Pesa itatumika ya ukweli kuhakikisha kuwa CCM watashinda! Watu wa huko Meru kuleni hela na muwalipie watoto wenu karo ila muhakikishe tarehe 1 Aprili mnafanya kweli! Kila la kheri Makamanda.

msije mkalia na kulalamika kwamba mmeibiwa kura meru ni tofauti kabisa majimbo mengine fanyeni utafiti wa kina kujua aina ya wapiga kura na mtazamo wa jamii kwa nasary,lakini kukumbusha marehemu sumary mungu amweke mahali pema peponi walimchagua akiwa mgonjwa na kujua ni mgonjwa hivyo katika uchaguzi huo kuna vitu vingi sana havijakaa vizuri tayari kuna kundi linamweka godbless lema katika watu wa vurugu hivyo hivyo kwa nasary na wanakwenda mbele zaidi kwamba ukiunganisha majimbo hayo mawili ni balaa jipangene
 
Lema, saizi hana kesi Chadema wanatakiwa wamuache apumzike hajipange jinsi ya kupambana na kesi yake Arusha, anaweza kupewa hiyo nafasi yakazuka mengine, kuna watu muhimu ndani ya Chadema wanaweza kufanya kazi hiyo yupo John Shibuda, hanaweza kuongoza jahazi la Chadema Arumeru Mashariki.

ivi wewe ume2ona cc watoto,we magamba kweli....rits bana
 
Back
Top Bottom