Lema kufufua mgogoro wa Meya Arusha

Lema kufufua mgogoro wa Meya Arusha

Nilazima aanzie alipo ishia,tunataka majibu yetu hapo mjengon,lema tuko nyuma yako sasa waziri mkuu anasema uongo!!kuna selikali hapo kweli?nahuyu meya wa kuchonga anazorotesha uchumi wa wana Arusha selikali isipo angalia tutapachimba tena na tutamfungia kwa nje huyo msomali alie baka umeya
 
Jana nilisikia akitambulishwa uwanjani kwenye pambano la Cheka na Mmalawi eti mgeni rasmi stahiki Meya nilitamani kama ningekuwemo humo uwanjani...

mkuu mbona haukunijulisha? tungekuja kumzodoa makavu live
 
Back
Top Bottom