Lema: Kikombe kikijaa lazima maji yamwagike

Unaingia benk na Sime kwa sababu zipi hasa??hata masai wanaacha sime nyumbani au kwenye gari wanapoingia benki....Tuwapeleke frontline mkatusaidie kutambua wabeba silaha wasio na madhara


Tuache siasa hadi 2020...hizi ndizo siasa inazotakiwa tuziache.
ukiweza kuniambia hilo jina lako ulilitoa wapi nitashukuru sana. angalia watu wote wenye majina ya ajabu ajabu hua na tabia zao zina shabiana. nimegundua kwanini wazee wa zamani walikua wanawapa watoto wao majina ya mahali wanapotokea.. !!!! kweli we jingalao haahaahahahaha
 
Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.
wewe utakuwa mgeni Arusha, eti walivyofanya ilemela na nyamagana yatokee Arusha? Never wale walifuata UKABILA KWA KUWA RAIS ALIEKUWA ANAGOMBEA NI WAO, Arusha tunataka mtu jasiri na muwajibikaji, kama wewe mgeni kaa chini ujulishwe.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom