iwamusani
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 336
- 318
Yap, unapaswa kuikabidhi kwa polisi anaelinda bank hyo kwa maandishi...Mbona unachepuka? Tunazungumzia sheria inayoruhusu mtu kumiliki silaha, je sheria hiyo inamzuia mtu huyo kuingia na silaha hiyo benki?