Lema: Kikombe kikijaa lazima maji yamwagike

UFIPA mtatetea kila ushuzi mwaka huu, hamna tena ajenda ya kukomboa watanzania.

Kuanzia, mafisadi, vilaza, wakwepa kodi ,watukana matusi, majambazi ,wazembe kwa sasa mtetezi na kimbilio lao ni chadema!!!!.

Hiki ndio chama mbadala cha kuitoa ccm!!!.

Mtasubiri miaka 109 ijayo.
 
Nimesikia clips yenye sauti inayofanana na Godbless Lema.Akisisitiza dikteta uchwara na kusema kama rais alisisitiza polisi wanyanganye bunduki harakaharaka vipi raia mwema akiingia benki na slaha yake"Na ikaonekana bahati mbaya"Polisi anayelinda Si ataichukua harakaharaka kwa kumua?

Ameendelea kusisitiza hii nchi si ya mtu mmoja ni ya watanzania,Amesema kikombe kikijaa maji yatamwagika.Maana Tanzania hawana jeshi imara kama ilivyokuwa Libya au Misri lakini viongozi wao walidondoshwa.

Nimeshindwa kuiweka clips yenyewe ila kwa speed inayo sambaa itakuwa hapa JF muda si mrefu.Namwona lema naye akienda kuhojiwa polisi kesho.Kazi ipo.

Libya haikuangushwa na wananchi
Libya iliangushwa na Arab legue pamoja na NATO.

sasa Libya ya Dikteta Gadafi na Libya ya wanyosha vidole viwili ni ipi mnayotaka Tanzania iwe?
 
Amani bila haki na Uhuru wa kweli ni ndoto za alinacha

Hakuna uhuru wa kweli duniani kamuone Julian Asange ana miaka 5 amejificha kwenye ubalozi wa Ecuado London, yuko lumande miaka 5 sasa. Ama yule aliyejificha Russia Edward Snowden. Hakuna uhuru duniani, uhuru una mipaka.

Hawa waropokaji wawe wanafungwa week moja na viboko 5 siku ya kutoka wakawaonyeshe wake wao.
 
Mkuu ndiyo sababu niliandika humu kwamba kama sera hizi za kukurupuka na udikteta zingekuwa 1970s basi huyu dikteta angefanikiwa, lakini sera hizi 2016 ni ngumu sana, haziwezekani hata kidogo.

Kama unazuiwa kusema, jukwaani unazuiwa na kukamatwa sasa wanasiasa wakesemee wapi? Acha wakasemee polisi na mahakamani ujumbe utafika kwa walengwa
 
Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.

Majuto ni mjukuu ili mjutie vizur tuna muongeza na mitano mingine hadi 2025 akili ziwakae sawa
 
Kwa hiyo "uki kejiliwa" tu utamaindi sana siyo na kuanzisha "vagi" kwa sbb ya "kejeli" toka kwa "mkejeli?"

Hujui kuwa wewe unaye maindi ndiye utakuwa na shida ktk judgement yako kuliko aliye kukejeli?

Kama wewe ni muumini wa dini ya kikristo i.e mkristo nishushauri uende ukasome kitabu kitakatifu cha Biblia (New Testament) kuhusu kiongozi shujaa na mfalme wa wafalme Yesu Kristo kuanzia kitabu cha Mathayo Mtakatifu hadi Ufunuo, utajifunza mengi sana juu ya kuzishinda kejeli.

Hakuna kiongozi yeyote mkubwa aliyewahi kuishi ktk dunia hii na kupokea kejeli za hali ya juu kama YESU KRISTO na kamwe hakuwahi kugombana wala kulipiza kisasi dhidi wakejeli wake ambao walifikia hatua mpaka ya kumtemea mate na yeye kamwe hakuwahi hujali zaidi ya kusema "baba wasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo!"

Hawakuona hilo linatosha kwani huyu ndugu pamoja na kukejeliwa saaana, hakuwahi kuanzisha vurugu japo alikuwa na nguvu na mamlaka ya kuwaangamiza wote kufumba na kufumbua tu!!

Mwisho waliona huyu mtu dawa yake ni kumuua tu tena kwa kifo cha fadhaa na kutisha. Yet he went on loving all na leo hii bila yeye mimi na wewe si kitu!!

Ukimuona mtu "ana maindi" hata kejeli za mwendawazimu wakati yeye anajijua ni "timamu" jiulize mara mbili mbili kuhusu utimamu wake na pengine tambua mara moja kuwa yeye ndiye hasa mwendawazimu!!
Mkuu kuna watu wanamharibia Rais nafikiri rais anapaswa kuwashughulikia. Isdhani kama yeye ndiye anayeagiza kila kamatakamata na pasua mabom! andiko lako lina fundisho kubwa sana kwetu kwa wakati huu tete
 
UFIPA mtatetea kila ushuzi mwaka huu, hamna tena ajenda ya kukomboa watanzania.

Kuanzia, mafisadi, ******, wakwepa kodi ,watukana matusi, majambazi ,wazembe kwa sasa mtetezi na kimbilio lao ni chadema!!!!.

Hiki ndio chama mbadala cha kuitoa ccm!!!.

Mtasubiri miaka 109 ijayo.
Hao wote uliowataja wapo ccm wakwepa kodi ndo wafadhili wakuu wa chama chenu mafisad rejea escrow mnao had leo na walipita ktk kura za maoni za kuutaka ubunge watukana matus mmewapa uwazir wazembe ndo hao magu anakimbizana nao halafu kawatafutia majina anawaita majipu ajabu sna hii
 
Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.
Watake radhi watu wa arusha kuifananisha na ilemela.
 
Hao wote uliowataja wapo ccm wakwepa kodi ndo wafadhili wakuu wa chama chenu mafisad rejea escrow mnao had leo na walipita ktk kura za maoni za kuutaka ubunge watukana matus mmewapa uwazir wazembe ndo hao magu anakimbizana nao halafu kawatafutia majina anawaita majipu ajabu sna hii
Wakibanwa Lowasa na mbowe wanawatetea.
 
Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.

We kwenu si sumbawanga Arusha inakuhusu nini tulia huko kwenu tuachie Arusha yetu
 
Huyu Mbunge wetu ni Bingwa wa kununua kesi. Arusha tunajuta kumchagua kwakweli ila sio mbaya 2020 sio mbali sana. Wana Arusha tutafanya kama walivyofanya wana Ilemela na Nyamagana.
wewe na nani? maana tuliomchagua tutamchagua tena,kama wewe ulimchagua tuwekee namba yako ya kadi hata kama kadi yako ni ya ccm
 
Back
Top Bottom