fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
Ulilenga kusema nini mama mdogo...Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua sana,tusubiri tuone chezo
mimi nafikiri mahakama iamue uchaguzi urudiwe.[/QUO
Mkapa alimuua Nyerere
Hivi wabunge waliofariki, halafu hawajamaliza kulipa ule mkopo wa 200m pamoja na gari 90m(Total 290m), inakuwaje? sheria inasemaje kuhusu hilo?
Mkuu Memo una kibali cha kutumia hiyo picha ya Steven Wassira?:crazy:
Hivi wabunge waliofariki, halafu hawajamaliza kulipa ule mkopo wa 200m pamoja na gari 90m(Total 290m), inakuwaje? sheria inasemaje kuhusu hilo?
hv haya mamodarator hawaoni haja ya kuwabun hii mijingajinga! huu upuuzi mtu anaotoa sijui katoka chooni!Huu ndo upumbavu tunaojaziwa kila siku kwenye jf, sijui ni lini huu use**** utakwisha