Lema, Heche na Mabere Marando kufanya mkutano mkubwa wa hadhara (M4C) Jimbo la Segerea [Jumapili]

Poa ninatakuja na washikaji tutakuwepo kwa wingi tafadhali kama gari la matangazo litaweza kupita kuamasisha watu jioni ya leo itakuwa fresh.viva cdm ,m4c for life
 
Wewe uliyekurupuka, mimi Kiswahili ni lugha mama kwangu, wewe jee?

Want to know where Regeza Mwendo in Zanzibar Urban, Tanzania is located? Find out here.

Kama wewe zomba Kiswahili ni lugha mama, basi sisi wengine ni lugha baba.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi, kesho magamba yanavuliwa segerea, jitahidi uwepo ili ukabidhiwe gwanda upate ukombozi wa kifikra.
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe zomba Kiswahili ni lugha mama, basi sisi wengine ni lugha baba.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi, kesho magamba yanavuliwa segerea, jitahidi uwepo ili ukabidhiwe gwanda upate ukombozi wa kifikra.

Magamba yanajivua, hayavuliwi, yanayovuliwa ni magwanda.

Maranya na Kiswahili wapi na wapi.
 
Nasikia Kusini, Mwenyekiti na Katibu nusura wazipige kavu-kazu. Kwi kwi kwi teh teh teh. Mmoja anataka watu wake wabakie mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.
sisi tunawaza kukombolewa ccm wanawaza umbea na kugombea madaraka,Mungu hajafanya makosa kuileta cdm tanzania
 
Nasikia Mwenyekiti na Katibu karibu wazipige kavukavu Kusini, mmoja anataka watu waendelee kuwepo, mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.
 
Nasikia Kusini, Mwenyekiti na Katibu nusura wazipige kavu-kazu. Kwi kwi kwi teh teh teh. Mmoja anataka watu wake wabakie mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.

Kumbe umesikia njoo ujione kwa majicho yako.mnavyozikwa wazima wazima
 
Nasikia Mwenyekiti na Katibu karibu wazipige kavukavu Kusini, mmoja anataka watu waendelee kuwepo, mmoja anataka waondolewe wawekwe wake.
hadi kufika 2015 mtakuwa mmeongea lugha zote,sisi tunachanja mbuga!
 
Sasa hadi watoto wa shule za msingi na chekechea kama wameikataa ccm mimi ndie nitaipenda?
 
Nina wasiwasi na ''Ukamanda'' wa Marando. Amepotea siku zote hizo akiwa na Mahalu na Mkapa pale Kisutu. Sasa kaamua kuizindua M4C???
 
Back
Top Bottom