Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Mkuu sidhani kama kanjibai anaweza mwangusha lema,huo utafiti wako hautofautian na ule ulotolewa juzi juz kuwa mgombea wenu anaongoza katika kura za maoni,achana na siasa maji taka lema anarud tena bungeni bila was kwa kuwa wananchi wanamkubali
Lema ni rais wa Arusha