Husimshangae mleta uzi maana ni ingizo jipya kushika nafasi ya JINGALAO
Wana arusha wamechoka kuwa waandamanaji wa kudumu.
Mleta uzi huyu huyu jana alikuja na habari kuwa msigwa na mnyika wapo taabani leo kahamia kwa lema.
Kwani jingalao ameenda wapi Mkuu?
Wana arusha wamechoka kuwa waandamanaji wa kudumu.
Mbunge wa chadema godbless lema yuko hatian kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali
hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo wahahidi wananchi wa jimbo la arusha mjini
Matumbo ya samaki aina ya furu!
CCM wametekeleza ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania?
Wewe ni kiongozi wa vilaza woote
Jibu hoja meku acha matusi.
Ukiwemo wewe na Lema.
Karibu sana Arusha naona una post kama vile uko Malawi. Arusha CCM wananyata wanavizia vizia hawana amani. Hawawezi hata kupiga kampeni Juzi niliwaona wanafunga bendela za ccm kwenye nguzo umeme Uzunguni huku wamejihami na mapanga.
Hapati kitu mwaka huu huyoMbunge wa CHADEMA Godbless Lema yuko hatiani kupoteza jimbo lake kufuatia kutokuungwa mkono na wanachi wa maeneo mbalimbali,hali hyoo imekuja kufuatia kushindwa kuteleleza ahadi zake nyingi alizo waahidi wananchi wa jimbo la Arusha Mjini.