Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.
 
Magamba mbona mwaweweseka? Lema ni mbunge na ataendelea kuwa ni mbunge
 
Kama hajafanya kitu,vipi madiwani wa ccm wanaongoza halmashauri ya mji na mkurugenzi wa ccm.hawajafanya kitu.
 
Tanua ubongo kabla ujapanua Mdomo Lema hajawa mbunge kwa Miaka mitano shirikisha ubongo

kikatiba kipindi cha ubunge ni miaka mitano, na Arusha hakujawa na wabunge wawili hivyo unavyokanusha ubunge wa miaka mitano sijui unamaanisha nini huku wakati alipovuliwa ubunge na barabara za arusha kuwekwa lami aliendelea kujisifia iliwekwa katika kipindi chake. Mbunge gani anapingana na mipango ya maendeleo katika jimbo lake?
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.

Teeeh,teeeh,teeeh,hiyo my take umeisikia kwa nani? Hata matumizi yake huyajui?
 
Lema hana chake Arusha, Amevuruga sana uchumi wa Arusha
 
Mbunge wa Arusha mjini kupitia CHADEMA, G. Lema amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumng'oa katika kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Arusha mjini.

Source: uchambuzi magazetini leo.

My Take:
Lema anataka kung'ang'ania ubunge wa Arusha mjini kwa kipi alichokifanya Arusha kwa wananchi kwa kipindi cha miaka mitano?

Anadhani wananchi wamesahau ambulance za wagonjwa alizouza? Trekta za wakulima hajaeleza alikozipeleka zaidi ya kujitetea kupitia washabiki wake kuwa zipo bandarini, viwanja vya Burka kwa ajili ya maendeleo alivyojitaifishia?, ubadhilifu wa fedha za mfuko wa jimbo, fedha za kusomesha watoto wasiojiweza haijulikani alikozipeleka na watoto kuachwa kwenye mataa!

Ni vigumu sana Lema kurudia kiti cha ubunge Arusha, si kupitia tu Chama Cha Demoghasia na Maandamano (CHADEMA), bali hata akijibadilisha sura, hawezi kuchaguliwa na watu wenye akili timamu kwani ameiharibu Arusha kiuchumi, kisiasa, kijamii na kimaendeleo.

Naona umeamua kututukana sisi wanachi wakaazi wa arusha,we ni nani hadi utuamulie cha kufanya? Umetumwa na nani? Umekula maharage gani? Sisi tutamchagua mh lema na tuna imani naye sana
 
Huna adabu kabisa wewe mtoto mtumwa wa mkoloni mweusi
 
kikatiba kipindi cha ubunge ni miaka mitano, na Arusha hakujawa na wabunge wawili hivyo unavyokanusha ubunge wa miaka mitano sijui unamaanisha nini huku wakati alipovuliwa ubunge na barabara za arusha kuwekwa lami aliendelea kujisifia iliwekwa katika kipindi chake. Mbunge gani anapingana na mipango ya maendeleo katika jimbo lake?

Hizo ambulence ulipokea hela za mauzo wewe.
 
Naona umeamua kututukana sisi wanachi wakaazi wa arusha,we ni nani hadi utuamulie cha kufanya? Umetumwa na nani? Umekula maharage gani? Sisi tutamchagua mh lema na tuna imani naye sana

punguani mliokula pamoja hayo maharage yaliyonunuliwa kwa fedha za yatima ndo mtakaomchagua.
 
Hakuna mtu yeyote anaeweza kumtoa Lema Arusha kwa sasa ni mbunge wetu na ataendelea kuwa mnaopiga kelele mnamuogopa sana lema na muendelee kuota hivyo hivyo na asiposhinda unitafute nakupa mil moja cash.Mimi niko Arusha na kwa hili la lema kutokushinda ni mawazo ya wanasisiem na sio ya makamanda tuliowengi
 
Magamba mbona mwaweweseka? Lema ni mbunge na ataendelea kuwa ni mbunge
Mkuu huyu katumwa na hao magamba wanaoendelea kukataliwa kila sehemu hapa tanzania kwa baadhi ya viongozi wake kupigwa na mawe
 
Hakuna mtu yeyote anaeweza kumtoa Lema Arusha kwa sasa ni mbunge wetu na ataendelea kuwa mnaopiga kelele mnamuogopa sana lema na muendelee kuota hivyo hivyo na asiposhinda unitafute nakupa mil moja cash.Mimi niko Arusha na kwa hili la lema kutokushinda ni mawazo ya wanasisiem na sio ya makamanda tuliowengi

haya ni mawazo ya mtu aliyeganda ubongo.
 
Mkuu huyu katumwa na hao magamba wanaoendelea kukataliwa kila sehemu hapa tanzania kwa baadhi ya viongozi wake kupigwa na mawe

Lema ndiye aliwafundisha kupiga viongozi mawe.
 
Back
Top Bottom