Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

Na hawa nao ni magamba? au walikuwa mzigo kwa chama. Nape tupe majibu
 
Mbona kila siku ni Arusha tu na isiwe leo Dar kesho Mtwara Keshokutwa Singida Mtondogoo ni Mara lakini kila kukicha ni Arusha Arusha mpaka tunachoka!
Mkuu sijui nikuite mnafiki hukusikia Mwanza Geita, Sengerema, Mbeya....tofauti ni kwamba Arusha ni wengi
 
Juzi si ulisema Lema kuibomoa Dar es Salaam leo tena kuipomoa Arusha kila siku Arusha tu hakuna sehemu zingine?
Tutaendela kuibomoa CCM Arusha mpaka atakapo baki Lowasa lakini kama nayeye atakuja kuungama viongozi wakilizika basi pengine nae atajunga na makamnda tatizo lako kubwa ni wivu wa kijinga unatamani unge hamia wewe wa kwanza.....Dar mipango inakamilika karibuni utaona
 

Viva CDM, viva LEMA, viva Crashwise.
 
kwani we unaitwa tume ya katiba??
na hiyo avata yako kwani we ni hugo shaves??
unavaa avata za wapiganaji wakati we msalititu!
 

Mbona wewe hujaweka jina lako kamili, umetumia ID? au hiyo ID yako ndilo jina lako?
 

Mkuu, anza wewe kwanza kuweka jina lako kamili. Acha kunyooshea wenzako vidole wakati wewe unafanya hivyo hivyo.
 
Inauma sana jamani. Magamba wakae wakijua kuwa hata jipu likae wapi lazima likamuliwe. Hata Kama limetokea katikati ya lile tundu la haja kubwa!
 
Mada ilikuwa 'LEMA azidi kuibomoa ngome ya CCM'.
Hoja / taarifa hii ilitakiwa kukubaliwa ama kupingwa.Kukataa ama kukubali pekee hakutoshi,ni vema kuweka vigezo /sababu zinazoambatana na mifano anuai.
Ni dhahiri wanaokataa wanaonyesha umahiri wao wa kupiga porojo, (ku-divert attention) wala hawajali kujenga hoja!!Hawawezi kufanya kinyume maana huo ndio uwezo wa akili zao!!
Mtu yeyote anayetamani kuwa Great Thinker anatakiwa kujenga uamduni wa kukabili hoja sio ujanja ujanja wa kuharibu uchambuzi wa taarifa tuliyokuwa tumeletewa.
Hata hivyo mtu hawezi kuamka leo na kujikuta ni 'Great Thinker'.Ni mchakato.
 

Wewe umeweka jina lako halisi?
 
Magamba wananichekesha sana, wanapenda sana ku divert attention za watu...Nassary kutokutumia ID yake inahusika nn?na huyo Lema kama anajisifia kwani anajisifia uongo????hajasoma lakini anaongea point, ww ambaye umesoma mbona hutuwakilishi tukakuona?Elimu yako imetusaidia vipi sisi kama wananchi?Great thinkers wanaongea kwa hoja na sio majungu...
 
hivi IQ ya kikwete na Lusinde yanani iko juu maana leo nilimsikiliza badala ya kuhutubia akaanza kufundisha kweli watanzania tulilamba galasha afadhali tungemchagua salima..

wataalamu makini wameshajiuliza na kugomea suala la IQ, wengi wanaaamini liliwekwa kwa misingi ya ubaguzi, hususani Marekani. Niwaulize suali, mtoto aliyesoma shule za msingi za serikali kijijini ama mjini akaenda sekondari za kata akashindwa mtinihani, Je utasema ana IQ ndogo? ni kipimo kipi mwatumia?
 
Anaiba tu wake za watu..



Wewe mbona unaropokaga tu kama hauna ubongo vile??

Viva CDM na hii ni cha mtoto tu!
Bado chichiem watapukutika mpaka wajue maharage ni mboga!


VIVA CDM CHAMA MAKINI KWA WANAINCHI!

Wao wana pesa na hakika SISI CDM TUNA MUNGU aliye hai na hata sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…