Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

Lema IQ yake ipo chini sana, elimu yake nayo mgogoro. Hana uwezo wa kujadili mambo na GT

Duh! hii yako kama ulivyoionyesha hapa nnaona inakutosha wewe tu hongera sana
 
Mbona kila siku ni Arusha tu na isiwe leo Dar kesho Mtwara Keshokutwa Singida Mtondogoo ni Mara lakini kila kukicha ni Arusha Arusha mpaka tunachoka!
 
Mimi huwa nawashangaa sana ma-strategist wa CCM, hivi hawajui kitendo cha kuwatenga watu kwa makundi au sehemu kunawafanya watu hao waungane? kitendo cha kuwatenga kinawajenga ki-saikolojia kuwa sisi hatutakiwi kule we belong to this group.

Kitendo cha makada wa CCM kuhubiri na kuwatenga watu wa kaskazini kuwa ni CDM kimewaunganisha watu wa kanda ile. Hisia ya kutengwa ilikuwa inajengeka pole pole sasa wameamua kuionyesha wazi kuwa kama wametutenga basi na sisi tunaungana. Hawakuwa na choice zaidi ya kukimbilia CDM ili kupata sympathy baada ya kukataliwa na CCM. Kwa vile hii ni kama imani iliyojengwa akilini, itachukua muda mrefu kuibadili.
 
Tatizo mimi naweza kujiita NYERERE Wakati siyo. Kwahiyo haitosaidia mbunge yeyote kuandika jina la kweli JF.
 

Juzi si ulisema Lema kuibomoa Dar es Salaam leo tena kuipomoa Arusha kila siku Arusha tu hakuna sehemu zingine?
 

Mkuu uko serious au unachangamsha genge? Mbona dogo nasary ameshajimwaga sana humu jamvini. Hebu mtafute utamuona aisee!
 

Acha kulalamika. Crashwise ndiyo Mbunge mojawapo wa CDM kama shida yako ni kutaka kujua. Preta ni Mbunge wa Viti Maalum, Pakajimi ni Mbunge wa CCM, Exellent ni Mbunge ! Upo hapo?
 
Si wote wamejisajiri, nafikiri kujiunga JF ni uamzi binafsi. huwezi kumlazimisha mtu yeyote
 
Lema nenda Bukoba, Mtwara, Lindi, Kigoma, wewe kila siku Arusha tu.
 
Mbona mnazunguka mle mle? Hii ni sawa na kumseduce mke wako!
Fungukeni kwingine muone!

Kila siku wapo uwanja wa Nyumbani tu...si wamempa Chopa.
 
Kila siku wapo uwanja wa Nyumbani tu...si wamempa Chopa.
Chopa itoke wapi? Mzee Ndesamburo hawezi kumpa kila mtu chopa. Anaangalia pia na uwezo wa mtu.
 
Mbona mnazunguka mle mle? Hii ni sawa na kumseduce mke wako!
Fungukeni kwingine muone!

Kwa hiyo mnatutishia au?Hata mgonjwa huwa anaitetea sana nafsi yake hata Kama dokta kamwambia kuwa atakufa leo,ccm inakata roho lakini lazima ife na watu wanaoitetea kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…