Lema Atikisa Arusha

Lema Atikisa Arusha

"Na mbele wangewekwa watu maalumu wa kushangilia. Nimehudhuria mikutano mingi ya CCM pale mbele unapoona watu wakishangilia huwa wanapewa mafunzo wiki moja kabla. Dhulma iliyopo wakati wa mafunzo huwa wahudhuriaji huwa wanaishia kupewa soda na ahadi ya elfu 15 mkutano ukiisha. Mkutano ukiisha wachache wenye viherehere ndio hupata pesa. Wale wapole hupewa ahadi zidizoisha" zilisikika sauti za mdau mmoja mbele ya kundi kubwa la watu
Huo utakua ule mkutano wa Ile Saccoss ya Ufipa kwa ajili ya kujadili maombi ya mikopo ili wakanunue magari
 
Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Bado una mawazo hayo,nikuombe ufanze toba kwa Mola wako ili uwe mkweli uweze kuwasaidia wengine.
 
Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Wamekachoka Ka Lema kama nilivyochoka mfereji wa mamako? Yaani hapa nilipo na jitahidi kuvumilia tu!
 
Lema amekumbuka shuka wakati kumeshakucha,hiyo mikutano ni ya kuwaaga wana Arusha mjini
 
Hivi shule zimefungwa?? maana naona watoto tu, makamanda wameunga mkono juhudi.
 
Kuna aja ya kupeleka mswada bungeni kwa hati ya dharura kuzuia watu wasiende kwenye mikutano ya wapinzani liwe kosa kisheria tuone
 
Mhe Lema ni Mbunge wa milele
Just pee it !
Screenshot_20190603-090809.jpeg
 
Lema atarudia ujambazi,akikosa ubunge 2020,wananchi wa arusha wamemchoka kazi kufanya vurugu tu bungeni,badala ya kusema shida na matatizo ya wananchi wa arusha.
Ndio hao hao waliokusanyika hapo wanamsikiliza kwa makini?? Lema atashindwa kwa mtutu wa polisi na wasiojulikana lakini sio kwa Kura za wananchi.
 
Back
Top Bottom