Lema Atikisa Arusha

Lema Atikisa Arusha

Mwambie achukue muda wa kuaga pia maana 2020 atasombwa na tsunami

Watu wasiojulikana ndio mtawatumia kumuibia kura? Wenzako huko waliomteka mfanyabiashara wa kikenya wamefahamika na inasemekana wanatumwa na jiwe.
 
Ni aibu sana !
 
Mapenzi ya Watanzania kwa Chadema yako juu sana na hawa wahuni wanalijua hilo ndiyo sababu wamejaa hofu kubwa sana. Pamoja na uhuni wao na mauaji dhidi ya Chadema, Chadema bado iko imara sana hili linawashangaza sana hawa makamongo.

ikumbukwe kwamba hakuna lori lolote lililotumika kusomba raia
 
Mapenzi ya Watanzania kwa Chadema yako juu sana na hawa wahuni wanalijua hilo ndiyo sababu wamejaa hofu kubwa sana. Pamoja na uhuni wao na mauaji dhidi ya Chadema, Chadema bado iko imara sana hili linawashangaza sana hawa makamongo.
wao na watekaji chadema na wananchi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mungu ampe maisha marefu, nampendaje!???
Hii haina mfano
Kuna kiongozi mmoja, ni mwana kijani mpauko. Aliniaambia hivi, mara ya kwanza kumsikia Mh Lema, nilijua muhuni tu. Lakini nilipopata nafasi ya kumsikia bungeni. Mpaka leo siamini kama ni Lema niliekuwa namhisi au Prof wa Oxford Uni. Maana anaongea huku akijua anaongea nini na mifano kedekede. Akamalizis hakika Chadema ina viongozi.
 
🙋🙏
 
mbombo ngafu
IMG_20190521_172330.jpg
 
Ungekuwa ni mkutano wa ccm wamasai wangesombwa kutoka ngorongoro na viunga vyake fuso zingekuwa bize kwelikweli.
Hajatukana na kuita watu wapuuzi kama ilivyokuwa zamani kwenye mikutano yake?
 
Kuna kiongozi mmoja, ni mwana kijani mpauko. Aliniaambia hivi, mara ya kwanza kumsikia Mh Lema, nilijua muhuni tu. Lakini nilipopata nafasi ya kumsikia bungeni. Mpaka leo siamini kama ni Lema niliekuwa namhisi au Prof wa Oxford Uni. Maana anaongea huku akijua anaongea nini na mifano kedekede. Akamalizis hakika Chadema ina viongozi.
swadakta
 
Mkuu mbona huzungumzi kuhusu kina Musiba kila siku wanabwatuka kuwa wanampenda bwana yulee
Utampendaje mwanaume mwenzako, mke wake akikusikia ndo utajuwa, sema unamkubali angalau iko sawa. Tuanze kupunguza maneno ya sifa kwa wanasiasa ili wafanye kazi walizotumwa.
 
Back
Top Bottom