imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Hiyo ni laana mtu anapigishwa vigelegele siku nzima kisha anaishia kuzulumiwa..ccm haifai"Na mbele wangewekwa watu maalumu wa kushangilia. Nimehudhuria mikutano mingi ya CCM pale mbele unapoona watu wakishangilia huwa wanapewa mafunzo wiki moja kabla. Dhulma iliyopo wakati wa mafunzo huwa wahudhuriaji huwa wanaishia kupewa soda na ahadi ya elfu 15 mkutano ukiisha. Mkutano ukiisha wachache wenye viherehere ndio hupata pesa. Wale wapole hupewa ahadi zidizoisha" zilisikika sauti za mdau mmoja mbele ya kundi kubwa la watu


