Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

Bila ushahidi ni kazi bure, ingawa mi mwenyewe niliskia shangwe kuuubwa likipigwa kwa ajili yake!
 
Kwan amani ya tanzania kuna aliyeileta?? au kuna anayeilinda??
Aman inayosemwa majukwaan ni maneno tu ya viongozi ila amani kwa tz ni kitu automatic kipo kilikuwepo kitakuwepo msitutishe nyie
 
Hivi ameshika mikono yako au ndio anakununulia bando mpaka ushindwe na wewe kuanzisha uzi wa hiyo Amani iliyohubiriwa?
Kesho mualikeni tena, ili muijuie Arusha vizuri.
 
Andika wewe unavyoona ni vizuri vilivyotokeaz mwenzako yeye kaandika hicho, wewe umeshuhudia nini? Acha kulazimisha viandikwe unavyotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…