Lema ataja Mawaziri ‘wazito’ wanaoenda CHADEMA

mwisho wa chadema ni 2013 wanavurugana tu,nimeamini mwanasiasa makini na mzalendo wa kweli ni ZITTO kamwe huwa hasikiki kwenye malumbano ya kijinga na ya uzush uzush kama akina LEMA na mabwana zake akina MBOWE NA SLAA na habari zake nzuri huwez kuzipata kwenye gazeti la udaku la tanzaniadaima,ukimsikia ZITTO anaongelea maslahi ya TAIFA mara bank kuu,utendaji mbovu shirika fulani,mara atoe ushauri serikali ifanze hivi,wote mtakumbuka ushauri wake wa kuishusha dola umejitaidi kuzaa matunda,kwanini LEMA asiige kwa ZITTO?Watu tunaitaji maendeleo sio mbwembwe ukombozi,watanzania tutajikomboa wenyewe na sio chadema
 
Nakuunga mkono Mwanakijiji, hakuna haja ya kuwataja. Kwa nini wasingoje basi siku hiyo watakapotakaswa jukwaani au kwny media ili hata asiye jua kusoma aone. Hili inanipa shaka, any way ngoja tuone, pengine hao mawaziri wametoa ruksa kwa kina Lema ili kuiumiza kimya kimya CCM
Ni muendelezo ule ule wa kauli tata na sizo na ukweli.............!Propaganda machine @ work............!
 
mwisho wa chadema ni 2013 wanavurugana tu,nimeamini mwanasiasa makini na mzalendo wa kweli ni ZITTO kamwe huwa hasikiki kwenye malumbano ya kijinga na ya uzush uzush kama akina LEMA na mabwana zake akina MBOWE NA SLAA na habari zake nzuri huwez kuzipata kwenye gazeti la udaku la tanzaniadaima,ukimsikia ZITTO anaongelea maslahi ya TAIFA mara bank kuu,utendaji mbovu shirika fulani,mara atoe ushauri serikali ifanze hivi,wote mtakumbuka ushauri wake wa kuishusha dola umejitaidi kuzaa matunda,kwanini LEMA asiige kwa ZITTO?Watu tunaitaji maendeleo sio mbwembwe ukombozi,watanzania tutajikomboa wenyewe na sio chadema
Watanzania tutajikomboa wenyewe toka kwa nani?
 
WAZIRI mkuu mmoja wa zamani na mawaziri wawili walioko madarakani, wametajwa kuwa miongoni mwa wazito walioko ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioomba kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Aidha, mawaziri hao wanasubiri muda muafaka ufike waweze kutangaza rasmi kujiunga na chama hicho, kutokana na kile kilichodaiwa kuchoshwa na mwenendo mzima wa uongozi na utendaji wa mambo unavyokwenda serikalini na ndani ya CCM, hususan suala la kuwalinda watu wanaotuhumiwa kwa ubadhilifu.

“CHADEMA tumejiandaa kuingia madarakani kwa kutumia nguvu ya umma. Ndiyo maana (akawataja mawaziri) wameomba kujiunga na CHADEMA ili tulisongeshe pamoja kwenda kuingia madarakani mwaka 2015.

“Lakini (akamtaja waziri mwingine) tumemkataa. Tunataka wachapa kazi na wenye mioyo ya kweli katika mapambano ya kupigania haki na kuondoa dhuluma kwa Watanzania,” alisema Lema.

Source: Tanzania Daima 21/5/2012

Kwa wale ama waliohudhuria mkutano au wenye taarifa za majina hayo ambayo inasemekana yalichanwa please tusaidieni, ili tupate wasaa wa kuwachambua hawa mawaziri kabla ya kutoa ruksa ya kuwavua magamba na kuwapendezesha na magwandwa

Updates
[h=2]
rldJL3e1y+zufWS6J5RfOgXb3Uq183QAAAABJRU5ErkJggg==
Lowassa, sitta na mwakyembe kuhamia cdm: Lema Source-Chiume wa JF[/h]

Kama kawataja kinachokushinda na wewe kuwataja ni nini? Au umbea?
 
Sijui kwa nini CHADEMA wanafikiri habari ya "vigogo" wa CCM kutaka kuhamia katika chama chao ni habari njema sana? Hii inaudhi sana. Sisi tunataka kujua jinsi CHADEMA itakavyobadilisha siasa na mfumo wa uongozi wa nchi toka kwenye ujinga unaoendelea hivi sasa, wao wanahangaika na watafuta fursa binafsi (individual opportunists) wa CCM? Kweli kuna mabadiliko hapo? Au nao wanataka kugeuka kuwa chama cha ulaji tu! tangu lini mawaziri walioko kwenye serikali ya CCM leo hii wakawa mtaji wa kumkomboa mtanzania? Naona sasa ukweli kuhusu ufinyu (shallowness) wa wanasiasa wa CHADEMA unaanza kujidhirisha kidogokidogo.
Tuache unafiki, kuna watu wakihama chama wanahama na kundi la watu, kwa upande hao ndo vigogo. Kwa mfano, EL akihama CCM, unadhani Monduli itabaki CCM?
 
Kuwataja majina kunaweza kuhatarisha usalama wao. Msije kushangaa wote wamemwagiwa tindikali! Hekima haiuzwi.
 
KUna watu wengine ni tatizo tu; sijui kwanini wanafikiria waatu wanahitaji kujua majina ya mawaziri; sasa hao watu waliotajwa (japo hawajatajwa) wakisema hawakuomba hivyo itakuwaje? Hata kama wlaikuwa na mpango ina maana hawa kina Lema hawana hekima kabisa ya kujua nini vya kusema na nini vya kutokusema?

Hakika,haikuwa Hekima kuwataja,Kiongozi Mzuri atakuwa na Hekima ya nn cha Kusema na nini si cha Kusema!! Namkubali sana Kamanda Lema na Uzalendo wake,inabidi ajifunze Uchaguzi wa Maneno na Mambo ya Kuyaongea!!
 
Kama kawataja kinachokushinda na wewe kuwataja ni nini? Au umbea?

Mkuu wangu, nilipokuona hapa asubuhi yooote hii nikaamini unakuja na busara zaidi baada ya kupumzisha akili, kumbe una pumba tu,napenda niku-ignore kama ninavyomfanya Shibuda, niunge mkono kukupuuza
 
Utamfananishaje kimajukumu zitto ambae ni naibu katibu ambae pia ni waziri kivuli na godblec lema aliyekuwa mbunge na sasa kapeawa majukumu ya kuimarisha chama so muacheni afanye kazi yake he know what he doing.
 
upo right man..pokea LIKE..whether ikawa propa..kuwaattack magamba
 
...makamanda wetu wengi wamekuwa na miono iliyopitiliza juu ya "magamba"...wanaona magamba ni cha watu waliokosa akili, busara, uzalendo, ubunifu, uadilifu, mikakati, nk...wakati magamba wanakichukulia cdm kwa umakini unaostahili...mwisho wa siku, mtazamo wa namna hiyo utatuacha na mshangao....tuwachukulieni magamba kwa namna inayostahili...!
 
Kuwataja majina kunaweza kuhatarisha usalama wao. Msije kushangaa wote wamemwagiwa tindikali! Hekima haiuzwi.
Sasa kama wakitajwa watamwagiwa tindikali ina maana siku wakijiunga watakuwa wanachama wa siri? It is nonsensical to say you will have anonymous members of a political party.

Septemba 15, 2007, Temeke Mwembeyanga, Dar-es-Salaam, party secretary Wilbrod Slaa alimtangaza Edward Lowassa kama fisadi nambari tisa wa nchi hii. Huo ndio msimamo wa chama! Leo Lowassa akisema anataka kujiunga CHADEMA ni lazima CHADEMA ikune kichwa, it is an explosive liability. CHADEMA wameamua ku leak majina kwa sababu wanataka kusikia 1) input ya wananchi 2) clue ya reaction ya motor mouths za CCM, Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, Steven Wassira, and not least, Livingstone Lusinde.

Siku CHADEMA wanatangaza kwamba wamempa kadi ya chama Edward Lowassa, fisadi namba tisa katika msimamo rasmi wa chama, Livingstone Lusinde atasema "Kudadadada Deki! Eti wamefanya nini hawa malaya wa kisiasa?" Mchana wanaorodhesha mafisadi usiku wanalala nao gesti za buku kumi. Mchana wanakataa posho usiku wananchi wakizima radio wanapokea posho! Taswira ya CHADEMA kama wapinga uchafu itapasuka, lazima watumie hii busara ya ku leak majina ili kusikilizia moto wake mapema!
 
Mkuu Taso hayo maneno mekundu ni ya Lusinde ama ni yako? Hilo neno ni kali sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom