Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hivi kuna kesi ambayo Mh. Tundu Lisu aliisimamia akashindwa!!! Hongera sana Lema!
 
Harlod Macmillan alisema, upepo wa mabadiliko unapokuja, hakuna mtu wa kuzuia. Mahakama wameanza kutenda haki, polisi watafuata na hata Tume ya Uchaguzi itawaweka Ikulu wakombozi wa Taifa hili "Mfu" katika uchumi wa dunia ya leo,naam, CDM itachukua nchi. Asante Mungu!!
 
Mkuu unavyoweka List yote namna hiyo unatupa matatizo makubwa sisi tunaotumia simu. Kuwa muungwana japo kidogo kwa wenzio.
 
Niko kivulini bar ninasheherekea sambamba na kupata kiwanja kikubwa cha kujenga compex kubwa itayojulikana kama GODBRESS LEMA COMPLEX huko Ilolo karibu na mnadani njia ya kwenda kibakwe jimbo la Simbachawene. Nimegawiwa leo hiihii.
 

mambo ya binadamu hayo mböa baridaaaaaaaaaaaa
 
PEOPLESSSSSSSSSSSS ebana LEMA ni jembe sasa lukuvi atasemaje tena maana hoja za lema sinarudi bungeni live
 
ushindi wa rufaa hii imeonesha jinsi gani mahakama haiko makini.Mwanzo alivuliwa ubunge sasa hv amerudishwa ina maana mwanzon walikua hawajui wanachokfanya wamezungusha sana chombo hcho ni dhaifu kijpange upya
 
Hakika kura yangu iliyochangia kumweka LEMA madarakani haijapotea, hongera kamanda Lema na makamanda wengne wote.
 
Kwa furaha niliyonayo pamoja na watu wote wa Chadema nashindwa hata ni comment nini zaidi ya kusema Mungu wetu ni Mungu wa haki na ameirudisha haki ya msingi kwa mji wa Arusha. Sasa wale madiwani waliofukuzwa na kufanya sherehe baada ya Mh. Lema kuvuliwa ubunge wapo wapi...nimepita sana mitaa yao leo sijaona hata upepo...Peoples Power
 
ushindi wa rufaa hii imeonesha jinsi gani mahakama haiko makini.Mwanzo alivuliwa ubunge sasa hv amerudishwa ina maana mwanzon walikua hawajui wanachokfanya wamezungusha sana chombo hcho ni dhaifu kijpange upya

No,sio kutokuwa makini judiciary as a whole, ndio maana kuna hierarchy of courts
 
Demokrasia Tanzania inazidi kupata mwelekeo mpya, wanachama wa vyama vya siasa wanapaswa kuwa makini sio kukurupuka na ushabiki utakao waingiza matatani kama hawa wa magamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…