Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

Hongera na wewe kwakuwa muungwana..... na kuandika vizuri.

Huyo jamaa yako Riz 1 niliahidi humu kutochangia chochote toka kwake, ila nataka nimhakikishie kuwa ni kweli J.K ameingilia hii case, kabla ya hukumu hii, iliisha tamkwa kua, madhara ya Lema kua nje ya Bunge kwa nyinyiem ni makubwa zaidi kuliko alivyo kua Mbunge, imeonekana ni bora mahakama iangalie zaidi sheria zilivyo ili nyienyiem iwe na uafadhari zaidi, kwani huyu jamaa hakusikia Lema alipania mwaka ujao ni jumba kwa jumba, kifo chake au Watanzania waeleweshwe, hilo lilikua tishio kwa magamba.
 
Siku zote HAKI haibakwi...Kamanda Lema rudi mjengoni kawapelekeshe bi kiroboto na wenzake,Aisee nikapige gwanda langu jipyaaaaaaaaaaa kwa raha zetu Makamanda....Hakika tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu....Insha Allah!!!
 
Mkuu LiverpoolFC upooooooooooooooo...Pipoooooooooooooozi.......
 
Right time to north, Wrong time to South. more to come..
 
Ungepost mwenendo mzima wa kesi namna ilivyokuwa

ni darasa la kiukweli Kaka....
 
Pro-Chadema bana JK ni rais bora, angalieni Chadema mmeshinda kesi ngapi mahakamani? JK Rais wa nchi hawezi kuingilia uhuru wa mahakama hata siku moja.

chadma wanashinda kesi kwa kuwa wana akili kuliko huyo aliyeko magogoni
 

No Flood PLS
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa hii nzuri sana, hilo CDM imelipangua waje na lingine!!! Peoplesssssssssssssssssssssssss!!!!!

 
hongera sana kamanda Lema Mungu na ahimidiwe daima milele na milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…