Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,519
21,441
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
 
_104172054_capture.jpg
 
Usitegemee chochote kutoka kwa Lema kupinga hili jambo in public kwa sababu kule alipo kimbilia kutafuta asylum ili uqualify kupema asylum seeker ni either uwe mkimbizi wa kisiasa au mtu ambaye usalama wake upo hatari kutokana na kujihusisha na vitendo vya usodoma katika nchi husika ,hivyo kwa Lema ku condemn matendo haya in public kutatoa tafsiri kwamba kumbe na yeye ni mkiukaji wa haki za binadamu.

Ingawa usodoma Africa haukubaliki wengi wenye mlengo kama Lema kwa sababu za masilahi binafsi hawawezi kukemea vitendo hivi wazi wazi au kuonesha msimamo wao ni upi kwa jambo hili ambalo clearly kwa tamaduni dini na desturi za kiafrica havikubaliani navyo badala yake watakuwa wakifanya danadana.
 
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini.

===
Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo.

Hata hivyo amesema haukubaliani na sheria au mtu yeyote anayetaka kumuua mtu kwa kuwa ni shoga. Amesema kitu mtu anachokifanya katika maisha yake ni kitu chake.
Lema yupo sawa. Mbona hamwakamati malaya waliotapakaa nchi nzima?
 
Back
Top Bottom