Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
Tafadhali
naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza
kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari
sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa
sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena
kata zote na Jimbo . Lema
hata awamu ya watekaji hakuna ccm Arusha zaidi ya wizi na uporajiHii ilikuwa wakati wa awamu ya nne.
Mambo yamebadilika.hata awamu ya watekaji hakuna ccm Arusha zaidi ya wizi na uporaji
Hakuna jipya kilichoongezeka ni ubabe wa kishamba tuMambo yamebadilika.
Madiwani kibao wamebwaga manyanga wewe bado unaendelea na ubishi wako wa kibavicha bavicha tu.Hakuna jipya kilichoongezeka ni ubabe wa kishamba tu
Hao madiwani na wabunge ni sehemu ya jamii, heri mara mia wahamie huko kuliko mateso mnayowapatia, wanatishwa kila kukicha hawana amani, msivyo na haya hadi viongozi wa vitongoji mnawasumbua na kuwatishia msisha wahamie ccm.Madiwani kibao wamebwaga manyanga wewe bado unaendelea na ubishi wako wa kibavicha bavicha tu.
Slavery business. Wanunuzi wa Binadamu nyieMadiwani kibao wamebwaga manyanga wewe bado unaendelea na ubishi wako wa kibavicha bavicha tu.
Amebaki diwani Bananga mnywa gongo.Hao madiwani na wabunge ni sehemu ya jamii, heri mara mia wahamie huko kuliko mateso mnayowapatia, wanatishwa kila kukicha hawana amani, msivyo na haya hadi viongozi wa vitongoji mnawasumbua na kuwatishia msisha wahamie ccm.
Kwa akili hii ya mafimafi ya awamu ya 5 watu wanawachukia sana.
Nilikuwa na Askari moja mwenye cheo kikubwa sana lkn alinisimulia hadi nikajisikia vibaya jinsi askari wanateseka moyoni kwa kuwapora wapinzani ushindi,
nanukuuu "Magufuli ana fanya mambo mengi mazuri, lakini ananisikitisha kubariki biashara ya kununua wapinzani, pesa anazotumia kwa uchaguzi zingeweza kujenga hospitali teule kule Manyoni.
Uchaguzi wa Kigoma na Monduli wapinzani walishinda wakaporwa. Ninasikitika sana kwa uchaguzi ujao 2020 hali itakuwa mbaya kwani askari hawatoshi na hataki kuajiri labda uchaguzi ufanyike Kikanda na siku tofauti"
mwisho wa kunukuu.
@Magojwa mtambuka
tuseme kweli, siasa mnazoendesha mnaharibu taifa, mmeleta chuki na mgawanyiko.
Hawa mnaowatesa wana watoto wanaumia wanapoona wazazi wanasiasa wa upinzani wanateswa, majirani na ndg zao wanaumia, wanajenga chuki dhidi yenu.
Hamna hofu ya Mungu...why?
Mnasaliti Nyerere mapema hivi?
Mnalipeleka wapi taifa?
Mnatetea matumbo na sio wanyonge.
Ndivyo ulivyokaririshwa na Mashinji.Slavery business. Wanunuzi wa Binadamu nyie
ona usivyo na akili hata kidogo pamoja na uzee wako, pamoja na kuandika na kukuhoji mambo ya msingi jinsi mnavyolivuruga taifa bado unaleta utoto hapa, mmelaaniwa na vizazi vyenu,.Amebaki diwani Bananga mnywa gongo.
Hapana kaniambia slow slow...Ndivyo ulivyokaririshwa na Mashinji.
Shauri yako. Kama umeudhika pasuka.ona usivyo na akili hata kidogo pamoja na uzee wako, pamoja na kuandika na kukuhoji mambo ya msingi jinsi mnavyolivuruga taifa bado unaleta utoto hapa, mmelaaniwa na vizazi vyenu,.
Taifa ni kubwa kuliko vyama..
Tanzania ni zaidi ya ccm na chadema.
pumbaff wewe, umeniudhi sana
Kuwa chadema kwisha kazi yake.Hapana kaniambia slow slow...
apasuke bibiyoShauri yako. Kama umeudhika pasuka.