Lema: Arusha hakuna CCM

Ndio mkuu sasaivi wimbo umebadilika eti chama nikizuri lakini lema asipitishwe kiboko ya yao kweli ni lema

Si Unajua wakishamsikia Kamanda lema mikia yao nayahao mafisi wanaofuga hapo lumumba inaingia maeneo nyeti
 
CCm Arusha wamefirimbwa vibaya...wachague maeneo mengine ya kucheza shere lakin siyo A town
 
Nitafutie fisi wangu mkuu nime mwelewa sana akija bila jazba sasaivi nitaanza kumpa elimu ya uraia maana ajitambui

Wakishalambiswa ugoro wa lumumba siyo rahisi akakuelewa kwani huoni kila saa wanavyopiga chafya humu ndani
 
Lema ni kweli utashinda, Arusha tatizo ccm wanafanya siasa za kikabila na Hawajui Arusha inataka siasa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…