....Jimbo la Arumeru Magharibi tunasubiri Chadema itangazwe mshindi olemedeye kwa heriiii
Hao ndio kati ya wale wa Mikutano yamafisiHahaha.... Mpumbavu gani huyo mkuu? Yaani mke amuoe yeye, amzalishe yeye, halafu hela ya matunzo atoe Lema? Nora angeomba mbsgu ili apate mtoto jasiri mazee
Huyo Ole Medeye hata yeye mwenyewe hataki tena kugombea kwasababu anajua ni kupoteza tu muda na pesa za chama chake wakati Chadema itashinda mwaka huu hata bila kampeni.
CHADEMA Arusha lazima washinde ila kwa kusema ukweli tu ni kwamba kama Lema atapita tena ni bora aweke mikakati ya kimaendeleo inayoonekana kwani jiji limepunguza kasi ya maendeleo suddenly..wanapambana na ccm then wanasahau kuitekeleza ilani ya chama.
Ahsante mkuu twende kihoja nimaendelewo gani yalio pungu yakuto pato la alimashauri kwenye milioni na kwenda bilion ndio ukupungua kurudisha viwanja vya wazi vilivyo uzwa kinyemela ndio maendeleo kupungua? Naomba uniambie maendeleo yame pungua wapi mkuu na ukumbuke Mh lema kafanya kazi mdaa gani pia.
Ume nena mkuu nimali zetu
Nimjinga moja mkuu tuli mleya wenye ndio akili zake zimeishia hapo
Hahaha.... Mpumbavu gani huyo mkuu? Yaani mke amuoe yeye, amzalishe yeye, halafu hela ya matunzo atoe Lema? Bora angeomba mbegu ili apate mtoto jasiri mazee
Mkoa mzima wa Arusha hali za ccm nimbaya sana nitakuja namakala motomoto
Mwanahabari Huru
CCM ni sawa na nzi anayesubiri kinyesi au mzoga ndio ale. Otherwise wanakufa.
Tafadhali naheshimu mawazo ya kila Mtu hata wajinga wakisema ujinga ninaweza kuvumilia . Lakini hili la kufikiri CCM iko Arusha ni jambo la hatari sana ni sawa na kufikiri kuwa twiga anaweza kuwa rais wa Tanzania kwa sababu picha yake inaonekana katika noti.
Arusha sitarajii kushindana na CCM ila CCM wanasubiri kushindwa tena kata zote na Jimbo . Lema
usijisumbue subr october
ukirud jimbon ww natapika utumbo
mwanaume mzima unajilegeza et ni Mali zetu,fanya kaz ww familia yako iendelee usidanganywe na keyboard
chagadema ni sawa na maiti anaesubr kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
Nimpumbavu kweli mkuu unamjua sana kwajina lingine anaitwa siasa maslai.
na bila shaka na ww ulishiriki wiz wa magar ar