Majanga mbona BADO tunamsubiria chalinze kwa hamu kubwa tumpe tena kitu
Ukikaa ukijisikia basi Lemaaaaaaaaa...
Mnakela sana, tujadili juu ya utanzania wetu kwanza na katiba sio watu
Mwigulu ameelezwaje na huyo katibu wa Bunge?
Fungua uzi mkuu na ujadili hayo unayo yataka. Kwani nani amekuzuia?
Mwenye akili za bata ni wewe unaewaza wanaume kila kukicha na usipoangalia Lema Atakutotolesha mtoto.Wewe hata uniheshimu au unidharau kutaleta maslahi gani kwangu ama kwa taifa?
Yani mtu akiwa CHADEMA anakuwa na akili kama za bata.
WanaJF,
Mbunge machachari wa Arusha mjini, bwana Godbless Lema, amepatwa na balaa kubwa bungeni baada ya kuthibitika kuwa amekuwa mtoro aliye kithiri.
Mhe Lema ana daiwa kuhudhuria vikao visivyozidi 3 tangu kufunguliwa rasmi shughuli za bunge maalumu la katiba. Jambo ambalo limemuweka kwenye hatari ya kupoteza uhalali wake wa kushiriki kwenye tukio hilo la kihistoria.
Pamoja na kwamba kwa sasa hakuna kamati ya maadili na haki za bunge, katibu wa bunge ameeleza kuwa suala la kuhudhuria bungeni ni jambo mtambuka, hivyo yeyote anaye puuza hilo atachukuliwa hatua kali za kinidhamu.
Aidha, itakumbukwa kuwa bwana Lema alikuwa amewekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi jimboni Kalenga lakini amepatwa na kichapo cha haja Kalenga na mambo yanazidi kumuendea kombo bungeni.

Duh,,,,,,,